Maamuzi ya Kawaida alafu unayaita Magumu!

Maamuzi ya Kawaida alafu unayaita Magumu!

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,500
Reaction score
7,431
Nimekeleka sana juu ya maamuzi ya Kawaida yaliyofanywa na CDM alafu watu wenye Mahaba na chama hiko Wanaita Maamuzi MAGUMU,tena wengine wanaenda mbali na kusema CCM iige Chadema(hili ndo limenikera kama mwanachama wa CCM)naangalia kilichofanywa CDM sioni UGUMU wake kwa hizo nafasi,eti CCM tujifunze kwa Chadema!!!!

Tujifunze nini hapo au siasa za majungu na za eneo moja,ulishawai kuona mbunge wa CCM anamtuhumu kiongozi wake katika CHAMA kupitia Mitandao,nawaambia mlichofanya ni kitu kidogo sana,labda uchanga wenu katika siasa mnaona ni maamuzi magumu....

CCM ndani ya miaka nane tumebadili makatibu wakuu CCM mara tatu,Makamba,Mukama,Kinana,sina uhakika kama tutafika nae mwisho,na haikugombanisha chama,wala majungu,au kuvuana nguo katika mitandao.Tumebadili manaibu mara tatu:Jakamwambi,Chiligati,Mwiguru,na hakuna aliekashiwa mpaka sasa.Je siku mkimtoa Silaa mtaita maumuzi gani?

Chadema kama kweli wanapenda kufanya maamuzi magumu,basi kipengere cha ukomo kirudi katika katiba yenu,pili mfanye uchaguzi mkuu wa chama,nafasi ya uenyekiti iwe huru kwa yoyote kugombea,mtangaze adharani mapato na matumizi ya fedha zote na zile za account maalum ya uchaguzi

#Ex CHADEMA simper aliquid novi#
 
Ule mpango wa kuvuana magamba mbona ninyi uliwashinda? CDM hakika imefanya maamuzi magumu!!
 
Mbona ninyi CCM vibaka wenu akina Kapuya mmeshindwa kuwatimua? Maamuzi magumu waachieni CDM.
 
Hebu tutajie maamuzi magumu yaliyofanywa na ccm.
 
Mafisadi papa akina Chenge na Lowassa mbona mbona mmeshindwa kuwang'oa?
 
Kuna Aina fulani ya Mwewe, hawa mwewe wao tofauti na ndege au mwewe wengine huwa wakizeeka wanakuwa na uwezo wa kurudi katika hali ya ujana, Ila hawa mwewe huwa ni lazima wachague Mawili, Kuacha hivyo hivyo wafe au kupita katika situationa yenye maumivu makubwa kabisa na ainayo dumu kwa siku 14, Hapa mwewe huwabidi wapite katika kipindi kigumu sana cha kujitoa manyoya yao yote yaliyo zeeka na kuota mapya hii process huwa ni balaa sana kwao make ni maumivu mwanzo mwisho.

CHADEM nayo ilikuwa na optional mbili, kuwaacha wakina Zitt na CDM ife au ipite katika kipindi kigumu na izaliwe upya, so CDM imeopt hiyo njia ya pili ya kupita katika kipindi kigumu sana
 
Tumefika hapa tulipo na umaskini mkali, kilimo kibovu, elimu duni kwa uongozi wa CCM.
Ni heri kutawaliwa na mkoloni mzungu, kuliko huyu mkoloni mweusi ccm! wanaitafuna nchi hadi kwenye kisigino.

enyi MaCCM mmetuibia vyakutosha na siku zenu zinahesabika..
 
vp na yale ya kuvua gamba yameishia wapi? au yale yamezid ugumu
 
endelea KUKELEKA....wewe utakua...naona wanawake wanaongea hivyo na uwezo wao wa kufikiria sio....umepanic sana lakini nini shida hamkutegemea au...?
 
Nikiwa mwanachama mwaminifu wa CCM na kiongozi wa wana ccm kwazalendo kwenye mitandao napenda kuipongeza kamati kuu ya Chadema kwa mchukulia hatua kali za kinidahamu msaliti wa Chama na kiongozi wa wawasaliti ndani ya chadema.

Maauzi sahihi na ya kizalendo ya chadema yanapaswa kuigwa na wana CCM wote wa zalendo kwakuwahulia hatua kali mafisadi wa mali za watanzania

Hongera Chadema NA POLENI WANA CCM UZAO WA MAFISADI MNAOSIKITIKA NA KUSONONEKA

CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWANINI SISI CCM TUUMIE INSTEAD YA KUFURAHIA?, CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWANINI CCM TUWALAZIMISHE WAMPENDE?, CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWA NINI CCM TUSIMCHUKUE?, CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWANINI CCM TUUMIE NA KUSONONEKA?
 
waambie hasa viongozi wa CCM ambao wanaingilia masuala ya chama kisichowahusu.
 
Asante sana mkuu, nilikua naingia mtandaoni kuleta mada kama hii
mie nashangaa kuondoka kwa zito wanaoumia sana ni wa ccm
kwanii????
Mbona sie chadema tumekaa kimya katika kipindi hiki kigumu kama chama ila wana ccm maongea sanaa???
Kama mnampenda zito kwa moyo wa dhati mchukueni sasa.
Chama chenu kimeooza mnashindwa hata mumsafishe nani coz wote wanatoa harufu mbaya hakuna anaewasikitikia,
kuanzia mkuu wa kaya kwa ufisadi na upendeleo (kujuana na udini)
katibu mkuu muuaji wa tembo
huyo nape yupo hapo kulipa fadhila za baba yake wa kambo
kina adam malima wapo hapo kwa sababu ya baba zao
huyo januari makamba n mtoto wa nani?
Nikisema niwataje hapa hapatoshi.
Sasa ya kwenu mbona hamyashuhulikii mpaka msubiri nyumba ya jirani kufuke moshi ndio muhisi kuna motooo!!!!!!
Mie nawapongeza viongozi wa chadema kwa maamuzi magumu
zito tulikupenda sana ila kumbuka sikio halipiti kichwa hata siku moja.
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
powerzzzzzz
 
Ccm kumeoza,chama cha wanafamilia,makamba,nnauye,malecela,malima n.k
 
Back
Top Bottom