Maamuzi ya Kawaida alafu unayaita Magumu!

Maamuzi ya Kawaida alafu unayaita Magumu!

ivi hawa kuna siku tutawaimbia parapanda?wanaua wenzao as if wao wataishi milele?
 
Baelezeee hao,kwa ukaidi wao hawatakubali kusikiliza maoni yako kwa sababu ya viburi vyao vilivyoota mizizi,na watadiriki kukiambia kuwa wewe si mwenzao eti kisa hauongei uongo kama wao
 
Maccm Wamuachie HURU kwanza mzee Abood Jumbe ndio waje kuvisema vyama vyingine
 
Chadema ni chama imara na makini sana!Nimefurahishwa sana na uamuzi walioufanya!!Chama kimejengeka mtu anakuja kutaka kuharibu chama!Chadema wameweza kuchukuwa maamuzi magumu ambayo CCM na serikali yake hawawezi hata kidogo!Big UP CHADEMA mimi ni raia mwema nawaunga mkono!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nikiwa mwanachama mwaminifu wa CCM na kiongozi wa wana ccm kwazalendo kwenye mitandao napenda kuipongeza kamati kuu ya Chadema kwa mchukulia hatua kali za kinidahamu msaliti wa Chama na kiongozi wa wawasaliti ndani ya chadema.

Maauzi sahihi na ya kizalendo ya chadema yanapaswa kuigwa na wana CCM wote wa zalendo kwakuwahulia hatua kali mafisadi wa mali za watanzania

Hongera Chadema NA POLENI WANA CCM UZAO WA MAFISADI MNAOSIKITIKA NA KUSONONEKA

CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWANINI SISI CCM TUUMIE INSTEAD YA KUFURAHIA?, CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWANINI CCM TUWALAZIMISHE WAMPENDE?, CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWA NINI CCM TUSIMCHUKUE?, CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWANINI CCM TUUMIE NA KUSONONEKA?

Una busara zilizopitiliza...
 
Hebu tazama haya mawasiliano ya Mwigulu na Nchimbi kuhusu Zitto. CDM wako sahihi kumtimua Zitto!

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: "Emmanuel Nchimbi" < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN

Endeleeni ila mtaula wa chuya
​
 
Nikiwa mwanachama mwaminifu wa CCM na kiongozi wa wana ccm kwazalendo kwenye mitandao napenda kuipongeza kamati kuu ya Chadema kwa mchukulia hatua kali za kinidahamu msaliti wa Chama na kiongozi wa wawasaliti ndani ya chadema.

Maauzi sahihi na ya kizalendo ya chadema yanapaswa kuigwa na wana CCM wote wa zalendo kwakuwahulia hatua kali mafisadi wa mali za watanzania

Hongera Chadema NA POLENI WANA CCM UZAO WA MAFISADI MNAOSIKITIKA NA KUSONONEKA

CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWANINI SISI CCM TUUMIE INSTEAD YA KUFURAHIA?, CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWANINI CCM TUWALAZIMISHE WAMPENDE?, CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWA NINI CCM TUSIMCHUKUE?, CHADEMA HAWAMTAKI ZITTO KWANINI CCM TUUMIE NA KUSONONEKA?

wow! YOU ARE A GREAT THINKER OF OUR TIME! umenena yaliyo ya kweli na kweli impendezayo MUNGU.sijawahi kufikiri ndani ya ccm kuna mtu ana akili kiasi hiki. hongera mkuu na ahsante kwa ukweli huu. kama kweli ZZK ni jembe na CDM hawamtaki kwaninin wasifurahi wamchukue ili akakitumikie chama chao? Hivi leo hii mchezaji nguli kama Messi akiachwa na BARCELONA timu zinazo mhitaji watakuwa na muda wa kupoteza badala ya kukimbilia kumsajili? kuna jambo ndio maana wana taka abaki ndani ya CDM ili wamtumie kwa masilahi yao.WAMENOA, WAMEKOSEA intelligencia ya CHADEMA ni kiboko.
 
CHADEMA hawajamkataa Zito (hawakusema hilo),bali wamefanya uwajibishaji kutokana na sababu walizozitaja,Zito bado yupo CHADEMA na ni mbunge kwa ticketi ya Chama Hicho na Chama kinamtambua na wala Zito hajathibitisha kuwa hayumo chadema labda Kama atafanya hivyo hapo baadae nipo tutaongea mengine
 
Walitegemea Zzk aogopwe kama wao wanavyoogopa kuwavua Gamba wale Manyoka 2 waliobaki chamani!
Ni ajabu Kudukua adukue cdm, lakini Orgasm wanapata ccm...My pubic hairs!
 
Afadhali ya chadema in aharufu ya ukanda. Ccm magamba imetawaliwa na sura za familia fulanifulani hii ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ina maana kama baba yako hayuko kwenye orodha ya kale ya ccm basi sahau habari ya kuongoza nchi. Hivi sasa wanaangalia wewe ni mtoto wa nani siyo ukanda au kabila ila wewe ni mtoto wa nani? Na cha ajabu kundi hili limetapakaa nchi nzima . Mfumo wa ubaguzi umejikita nyuma ya sura ya utanzania; lakini essentially huu nao ni ubaguzi design mpya yaani neo-politico discrimination. Mfano r1 next governemnt atakuwa waziri piga ua kama alivyo adam malima, januarius makamba, nape nnauye, emmanuel nchimbi, na abeid aman karume rais mstaafu, dr. Hussien mwinyi babaake raisi mstaafu ali hassan mwinyi aliyewekwa na mkwewe thabiti kombo aliyekuwa waziri kiongozi wa smz. Unauona huo mtiririko. Wewe utaingilia wapi mjomba. Nchi inawenywewe kupitia ccm na wenyewe ndio hao niliowataja kwa uchache. Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko
 
Subject: Fw: kazi nzuri Date: Sunday, November 17, 2013 20:28 From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> > To: "Emmanuel Nchimbi" < nchimbie@yahoo.com > On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote: sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde MN 2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com > bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma Sent from my ipad On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote: Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni MN
 
Acha unafiki wewe kama unaipenda ccm wewe sema tu watu wakuelewe maana unajitahidi sana kuongea pumba kwa hisia
 
Hebu tazama haya mawasiliano ya Mwigulu na Nchimbi kuhusu Zitto. CDM wako sahihi kumtimua Zitto!

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: “Emmanuel Nchimbi” < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN

Endeleeni ila mtaula wa chuya
​
Mwigulu Ni gaidi, Kova anasubiri ushahidi gani kumkamata huyu muuaji
 
Ni mjumbe mkutano mkuu mkoa na wilaya toka kata moja huku Shinyanga. Nashangazwa sana na ndg zangu wana CCM kumshabikia Zitto ambaye alikiumiza sana chama kipindi anajidai yeye ni masiha katika sakata la Buzwangi.

Geita ilfikia tuweke kando tofauti za kisiasa ili agombee ubunge tukiamini ana dhamira ya dhati kumbe alitaka Barrick wamwelewe kuwa na yeye yupo. Angalieni zao lake Kafulila alivyoisumbua NCCR MAGEUZI baada ya kutoka CDM! Zitto aliidhoofisha sana CCM kwa siasa za NDUMILAKUWILI na ndicho kimempata sasa. Ndg zangu hata vitabu vyote vitakatifu kamwe haviungi mkono wasaliti. Hebu tujikite kujenga chama chetu badala ya kuendelea na huyu SHOGA wa siasa.

Mimi nishasema hata Mh. Lowassa amebebeshwa tu lundo la kashfa lakini kuna chain ndefu ambapo CDM na baadhi ya wasaliti walioko CCM wamekuwa na ajenda ya kummaliza kisiasa bila mafanikio. Nataka niwaulize ndugu zangu wana CCM, ni yupi hasa mwanachama hai, je ni yule aliyekihama chama akaenda upinzani baada ya kukosa alichotegemea akarundi tena au ni yule aliyeamua kula hata tonge moja ili kukifia chama? Siwaamini kabisa akina Shonza na Mwampamba,simwamini Sitta hata robo na sasa naelekeza macho yangu kwa Lugola. CHADEMA kinastahili kufa na wazikane wenyewe kwa unafki wao mkubwa,wametukosti sana kwa propaganda za akina Zitto,Slaa na Mbowe hadi sasa kuvaa sare ya chama huku kwetu yataka uwe na akili ya mwehu kama Lema na Heche.

Eti leo tunamuunga mkono Zitto msaliti tukiamini tunaivuruga CHADEMA! Ndugu CCM itajengwa na vijana wanaomwogopa mungu na sio waganga njaa ambao ndio wanaopewa kipaumbele baada ya kujiuza na kutumiwa sehemu zote za miili yao. Nani asiyejua maeneo ya vijijini wajumbe tunasafiri zaidi ya kilomita hata kumi kwa baiskel kuimarisha chama? Mwacheni Zitto mungu amwonyeshe kazi na pesa zinazotumika kuwalipa wasaliti zijenge ofisi za chama ambazo zimechakaa sana huku vijijini. Huku kwetu CDM haipo kabisa nashangaa Chama kinatumia pesa nyingi kununua vyangudoa badala ya kutuletea hata sare na bendera za chama. Nakumbuka siku Saddam alipokuwa ananyongwa live,rais aliyepo madarakani inchini Iraq alitamka pindi sadam anawekewa kamba shingoni; "tangulia kuzimu Saddam hata hivyo imetosha" japo mimi nilitokwa machozi na ukafiri wangu.

ZITTO hastahili kuonewa huruma huyu, nami nasema" Zitto huwezi kumkana mlezi wako hata kama ni mlevi hasa kwa unafiki, "mchana huyu si baba, usiku we ndo baba"
 
wow! YOU ARE A GREAT THINKER OF OUR TIME! umenena yaliyo ya kweli na kweli impendezayo MUNGU.sijawahi kufikiri ndani ya ccm kuna mtu ana akili kiasi hiki. hongera mkuu na ahsante kwa ukweli huu. kama kweli ZZK ni jembe na CDM hawamtaki kwaninin wasifurahi wamchukue ili akakitumikie chama chao? Hivi leo hii mchezaji nguli kama Messi akiachwa na BARCELONA timu zinazo mhitaji watakuwa na muda wa kupoteza badala ya kukimbilia kumsajili? kuna jambo ndio maana wana taka abaki ndani ya CDM ili wamtumie kwa masilahi yao.WAMENOA, WAMEKOSEA intelligencia ya CHADEMA ni kiboko.

ZZK KAMA MZURI MCHUKUENI NYIE CCM HATA BILA MKOPO BURE. MAANA KAZI ALIYOIFANYA NDANI YA CDM KWA NIABA YA CCM NI YA KUTUKUKA. MPENI NISHANI YA UTUMISHI MWEMA. HII INACHEKESHA, NI KAma simba wanamfukuza mchezaji halafu yanga wanalalamika hii inawahusu nini . bila shaka CHADEMA WAMETIBUA MIPANGO YAO KAMA YA KUKAMILISHA,POLENI SANA SISIEMU
 
Kwa kuwa ZZK ni jembe ambalo CCM wanalikubali, nadhani ni muda mwafaka wa kulichukua ndani ya siku hizi 14 na kuliweka sehemu husika ili likikatulie chama. Kama kiliwakimbilia Mwampamba na shonza kwa nini wasifanye maradufu kwa ZZK?. Kama kitasita basi tutajua kuwa lilikuwa jembe lao huko lilikotokomezwa.
 
ushauri mzuri na mchungu kwa CCM HASA KWA MWIGULU NCHIMBI NA LUKUVI pia infoma wa CDM Wassira.
 
Back
Top Bottom