Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
Polll: Maamuzi ya Kamati kuu CHADEMA kuwa simamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui
CHADEMA DIASPORA (Fair and Balanced platfrom)
Results are still coming in; 444 votes so far...
Poll updates...
By Mzee
Kwa watumiaji wa simu.
Hii poll inasaport desktop pekee, hivyo basi unapaswa kubadili kutoka Mobile kwenda kwenye desktop
Hatua:
1. Fungua JF kwa kupitia browser, sio kwa JF App.
2. Panda juu kabisa kwenye kitufe kilichoandikwa " TOUCH" Bonyeza hapo.
2. Itakuletea muonekano tofauti na ule wa mwanzo. Angalia chini kabisa. Kuna kitufe kilichoandikwa "Full Site" Bonyeza hapo.
3. Itakuletea muonekano mwingine i.e desktop version.
4. Nenda kwenye jukwaa la Siasa.
5. Tafuta thread unayotaka kuipigia kura. Ifungue.
6. Chagua sehemy moja wapo kati ya majibu matatu kwa kubonyeza kwenye kiduara.
7. Shuka chini kuna sehemu iliyoandikwa "vote now" bonyeza hapo.
Shughuli imekamilika.