Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui

Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; unayaafiki?

  • Sahihi

    Votes: 404 86.0%
  • Kosa

    Votes: 59 12.6%
  • Sijui

    Votes: 7 1.5%

  • Total voters
    470
  • Poll closed .

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
480
644
Polll: Maamuzi ya Kamati kuu CHADEMA kuwa simamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui


CHADEMA DIASPORA (Fair and Balanced platfrom)

Results are still coming in; 444 votes so far...

Screen Shot 2013-12-06 at 2.12.29 AM.png

Poll updates...

Screen Shot 2013-12-05 at 6.22.13 AM.png

By Mzee
Kwa watumiaji wa simu.

Hii poll inasaport desktop pekee, hivyo basi unapaswa kubadili kutoka Mobile kwenda kwenye desktop

Hatua:
1. Fungua JF kwa kupitia browser, sio kwa JF App.

2. Panda juu kabisa kwenye kitufe kilichoandikwa " TOUCH" Bonyeza hapo.

2. Itakuletea muonekano tofauti na ule wa mwanzo. Angalia chini kabisa. Kuna kitufe kilichoandikwa "Full Site" Bonyeza hapo.

3. Itakuletea muonekano mwingine i.e desktop version.

4. Nenda kwenye jukwaa la Siasa.

5. Tafuta thread unayotaka kuipigia kura. Ifungue.

6. Chagua sehemy moja wapo kati ya majibu matatu kwa kubonyeza kwenye kiduara.

7. Shuka chini kuna sehemu iliyoandikwa "vote now" bonyeza hapo.

Shughuli imekamilika.
 

Attachments

  • Screen Shot 2013-12-04 at 5.17.11 PM.png
    Screen Shot 2013-12-04 at 5.17.11 PM.png
    8.5 KB · Views: 2,776
ngoja kwanza, haraka ya nini? mi-CCM buku7 PROJECT watakuja hapa
 
Kama ni mzalendo,mwadilifu na unawaonea huruma wale waliokufa,waliopoteza maisha ya ndg zao,waliotoa muda wao,michango yao na nk,waliopata vilema vya kudumu kwa ajili ya kuijenga CHADEMA itikia kwa kucomment poooweeeer kama ishara ya kuunga mkono maamuzi ya kamati kuu kuwavua uongozi zzk na kitila,kwa usaliti wao ili kutimiza tamaa zao,uroho wa madaraka na tamaa ya pesa ili kuwakatisha tamaa watz kwa ajili ya ukombozi dhidi ya mkoloni mweusi,mafisadi nk.
 
Back
Top Bottom