Maamuzi ya atheists

Sijawahi kuona mwafrika mweusi tii wa namtumbo, buza, nangurukuru, ilongero, machame, buhigwe, kiabakari eti ni budha, shinto, mhindu ila naona wakristo na waislam. Ina maana waafrika hawaamini dini hizo?
 
Kama jibu ni ndio
Ukivuka na kufika kisiwani unguja au pemba
Utaitwa mbara na kichogo
Haijalishi imetoka ukanda wa pwani, Tanga, Pwani, Lindi au Mtwara.
Sisi ndugu zetu ni zenji sio nyie
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mwanamke hana dini we binti, tukiwaoa lazima mfuate kile mwanaume anachoamini
 
Sisi na nani, hivi umwambie msambaa wa korogwe atakuelewa?

Acha kujilisha upepo.
Kama ndugu zenu nenda ukamiliki ardhi na upate tiba sawa na mzanzibari.
Jitu likiwa jinga
Sisi hatuna makabila wala sala,mu hatujui
 
Wasomi hawapo km wewe eti mm msomi we ni zezeta na hujitambui

mtu msomi hawezi kusema duniani Kuna dini mbili, duniani Kuna dini zaidi ya milion moja


tatizowe ni lijinga na hujitambui
 
Sijawahi kuona mwafrika mweusi tii wa namtumbo, buza, nangurukuru, ilongero, machame, buhigwe, kiabakari eti ni budha, shinto, mhindu ila naona wakristo na waislam. Ina maana waafrika hawaamini dini hizo?

Nipo mkuu,Mimi ni mfuasi wa Sidharta Gautama ( Buddha),niliamua hivyo kwasababu dini hii hufanana kabisa miiko yake na zile za mababu zetu wa kiafrika.
 
Sisi hatuna makabila wala sala,mu hatujui
Mimi ni mtu Kutoka pwani na tuna Makabila.

Ninyi mnaojilisha upepo ndio huwa mnasema hamna Makabila.
Kama hakuna Makabila kule Uarabuni basi sawa ila pashtuns sio kabila.
 
Mimi ni mtu Kutoka pwani na tuna Makabila.

Ninyi mnaojilisha upepo ndio huwa mnasema hamna Makabila.
Kama hakuna Makabila kule Uarabuni basi sawa ila pashtuns sio kabila.
pwani ipi , unajua mkoa wa Tanga tu una pwani na upande wa kaskazini ? wanaotokea kuanzia muheza sio watu wa pwani hata lafudhi ni tofauti , unalijua hilo ? Mkoa wa Tanga sehemu kama korogwe kuendelea wako tofauti na Tanga mjini ,wao ni northerners sio wacoasts unajua hilo ?

Mimi ni mcoast kwa vile nimezaliwa Tanga mjini , na kukulia hapo . Watu wa bara wanapotutukana basi wanatukana wa pwani wa Tanga mpaka zanzibar , ina maana sisi na wazanzibar ni victims wa ubaguzi wa bara . sijawahi kuona mzenji akitutkana sisi , umeelewa . wabara wakiamua kutukana watu wa pwani basi hutkana wote kama kitu kimoja , kwa hiyo maumivu yetu ya wacoast tunayapata pamaja ..Ndugu zangu ni wazanzibar, na wacoasta wala sio wabara .. Tuna muingilian sana wala hamna shida.
 
Asili ni ujasiri
Muafrika hatengenezi chochote
Kila Kitu anamtegemea mzungu
Hadi Mungu na Shetani ameletewa kutoka uzunguni na uarabuni.
 
Kwa hiyo mchaga aliyezaliwa mtwara, anakuwa mmakonde, mkinga aliye zaliwa Tanga ,anakuwa mpwani?

Kuzaliwa sio issue, ndio maana wabaniani wamezaliwa kariakoo lakini sio wazaramo, wakwele, wanyagatwa, wanyangalio, warufiji Wala wandengereko 😁😁😁.

Kwa hiyo pwani Bagamoyo sio?
Kisiju pwani sio?
Pemba mnazi na Buyuni sio?
Nyamisati na Nyanjati sio?
Kilwa?
Lindi sio?
Mikindani sio?

Huwezi kuwa mbeya, Shinyanga au Rukwa ukabaguliwa kisa unatokea ukanda wa pwani.
Ila utaitwa kichogo na mbara hata kama unatokea Mafia ukiemda kisiwa Unguja na Pemba.
 
Mkuu kwa mtazamo wangu umekosea, imani huendelezwa kizazi hata kizazi, imani hurithishwa kizazi kimoja mpaka kingine, na hakuna binadamu anaishi bila kuamini chochote, hivyo ulipaswa kumueleza imani yako watoto wanaamini kupitia imani za wazazi wao, ni mtazamo wangu tu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…