Maamuzi ya atheists

Ulimuelezaje dini ya Kiislamu wakati wewe sio Muislamu?
 
Kuna kipindi nadhani huwa naamini ama nafanya vilivyo tofauti na imani yangu.. Labda ni kwakuwa nimezisoma sana dini lakini nikakosa kile nilichokitaka ndani ya hizo dini
 

Aliyetakiwa kumueleza na kumelewesha Dini mwanao ni mchungaji au Sheikh.
Ungempeleka kote na asikilize na aamue. Tena ungemuacha hadi afikishe miaka 18 . Na ndio achague.

Watu wote tunarithi dini au wengne wanaamua wawe dini gan.
All in all. Uwanja wa kuchagua ni mdogo. Maana ni A au B.
Ilitakiwa kuwe na machaguo mengi.

Ila mwisho wa Siku. Hakuna ambaye amekosea au amepatia.

Dini ni mila na tamaduni tu ya kutuelekeza namna gan bora ya kuishi hapa duniani.

No reward afterwards.
 
Mpe hongera za dhati binti yako bwashee. Kachagua chaguo lililo sahihi kabisa.
 
Nilimweleza kila kitu kuhusu ukristo na ulislamu
 
Ukweli wangu ,mimi wazazi wangu wote ni waislamu ila hawakusoma dini ,binafsi nilienda kusoma dini kwa madrasa za bure tena zilikuwa za ansaar maarufu kama "darsa" .Bahati nzuri nimesoma mpaka Hizb ut tahrir walikuwa na tawi kenya mpaka kuja Tz .

For sure mimi nimesoma Qur an za kiswahili then nikasoma ya kiarabu , kuhusu dini mimi nimechagua kuishi kama Muislamu
. Kiufupi ,maisha ya kiislamu nayapenda zaidi yake kwa sababu ni ule usawa ...Baba yangu mzazi mwenyewe ananiita shekhe ila yeye mwenyewe hajui dini nimesomea wapi 😅😅.

Mimi naamini Mungu yupo ,na hata juzi mliona balaa la Tetemeko la ardhi pale Venezuela ,sio adhabu bali ni kwamba sisi binadamu hatuna ujanja.

Vile vile, siogopi kifo kwa sababu kifo ni mawaidha tosha ,katika kifo ukiacha unafiki na kufikiria kwa undani utajua kuna mengi ya kujifunza kuliko kuogopo kifo.

Kadri ninavyokuwa basi ndivyo nazidi kuamini zaidi uwepo wa Mungu .Siamini haki duniani ila naamini upo usawa baada ya duniani.

Nilisha maiti ya kwanza form one ,ila nilipata frustration kwa kipindi kile ,ila nilijifunza mengi sana kwenye misiba hasa kushiriki. Mimi binadamu wote nawaona kawaida wala hakuna wa kunitisha ...Mambo mengine ni kuishi na watu vizuri ..

Kuna kisa nitakileta ila ni mtihani kidogo ,nilipa mgogoro na jamaa kwenye mambo haya ya dini.
 
Ndio maana watu wakimpopoa mawe yule mvaa ushungi unajawa na povu kwa sababu ni kobasi mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…