Unampa kwanza ya kichwa kabla hajapoa unaenda kurekebisha hapo 2 tuu sio mbayaMfano wewe ndio Sniper.... umejificha sehemu unalenga wanajeshi wa upande wa pili. Ile lens ina zoom unamuweka kwenye target mjeshi huyu.....UNAFANYAJE HAPO???View attachment 1680210
Hahah kwani wabaya wanahaki ya kufa mzee?Acha kuua viumbe vizuri wewe