Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,439
- 7,970
Mfano wewe ndio Sniper.... umejificha sehemu unalenga wanajeshi wa upande wa pili. Ile lens ina zoom unamuweka kwenye target mjeshi huyu.....UNAFANYAJE HAPO???
Hao ndio wauaji waliokubuhu vitani. Ukimwacha tu, inakuwa ni deadly mistake - unauawa wewe.Mfano wewe ndio Sniper.... umejificha sehemu unalenga wanajeshi wa upande wa pili. Ile lens ina zoom unamuweka kwenye target mjeshi huyu.....UNAFANYAJE HAPO???View attachment 1680210
Mission abortingMfano wewe ndio Sniper.... umejificha sehemu unalenga wanajeshi wa upande wa pili. Ile lens ina zoom unamuweka kwenye target mjeshi huyu.....UNAFANYAJE HAPO???View attachment 1680210
Acha kuua viumbe vizuri weweAnakula ya kichwa!Kwani akikuzoom na kukuona yeye atakuacha?Fikiria kwa kutumia kichwa cha juu sio cha chini.
Anakula ya kichwa!Kwani akikuzoom na kukuona yeye atakuacha?Fikiria kwa kutumia kichwa cha juu sio cha chini.
mabinti kama hawa huwa ndio wanatumika kama chambo kuwanasa wanaume dhaifu kama nyie[emoji2]Mfano wewe ndio Sniper.... umejificha sehemu unalenga wanajeshi wa upande wa pili. Ile lens ina zoom unamuweka kwenye target mjeshi huyu.....UNAFANYAJE HAPO???View attachment 1680210
Namfumua vizuri kabisa kwenye bongo hiyoo.. sitaki mambo ya penzi kitovu cha uzembe
Jamaa Fala kabisa , anafananisha vita na drama za mapenzi ....Anakula ya kichwa!Kwani akikuzoom na kukuona yeye atakuacha?Fikiria kwa kutumia kichwa cha juu sio cha chini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namfumua vizuri kabisa kwenye bongo hiyoo.. sitaki mambo ya penzi kitovu cha uzembe
Sawasawa, Ila punguza jazba huenda mleta mada anapima uwezo wa watu wa kufikiri!Anakula ya kichwa!Kwani akikuzoom na kukuona yeye atakuacha?Fikiria kwa kutumia kichwa cha juu sio cha chini.
Ivi muuliza swali ni lazima asiwe na jibu sio?!Ungepitia angalau mafunzo ya sungusungu usingeileta hii mada hapa jukwaani.
Jeshini tunaambiwa kuwa adui anapokuja uwanja wa vita huja na silaha. Ile silaha si pambo, iko kwaajili ya kuwinda roho yako.
Sasa ukilijua hilo hutakuwa na muda wa kujua jinsia ya adui, hutakuwa na muda kumtazama usoni adui
Yaaani unabutua tu kama kuku mwenye kideri.....haina shobo haina kuremba.Ni tufuuu kuleee,kenge kabisaa tuko vitani sio bedroom.Mfano wewe ndio Sniper.... umejificha sehemu unalenga wanajeshi wa upande wa pili. Ile lens ina zoom unamuweka kwenye target mjeshi huyu.....UNAFANYAJE HAPO???View attachment 1680210
Nimecheka mpaka nimedondoka kwenye kiti watu wananishangaaa!Yaaani unabutua tu kama kuku mwenye kideri.....haina shobo haina kuremba.Ni tufuuu kuleee,kenge kabisaa tuko vitani sio bedroom.
Mpaka tufike kambini ashafirika sanaAnko uyo sio wakushutu kabisa[emoji196]
Huyo dawa yake ni kumvizia na kumteka mpaka aseme ilipo kambu yao..[emoji1787][emoji23]