Maamuzi magumu sana

Maamuzi magumu sana

Mimi nakupa ushauri wa bure ndugu yangu huyo mwanamke hakupendi kama alikuacha kipindi unasoma na atakuacha pia kipindi hukiwa hauna kitu fikilia jamaa aliye mzarisha ameamua kumpotezea kwa ajiri yako sio kwamba anapenda ila shida ndio zinamfanya awe na ww na kwa vile anajua unampenda hapo mbele akibadilika utaumia sana kwa kumfanyia vingi na malipo yake ni kukuacha na maumivu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu nimekuelewa sanaa na kwa sasa nipo makini sana juu ya Hilo suala
 
Umejaaliwa moyo uliopondeka mkuu hakika una nafasi yako mbinguni. Mtu alinitest kukataa mimba zamani hizo sijapokea simu hadi leo na sitokaa wewe umesamehe na roho nyeupe hongera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kuwa na true love. Kiukweli wazazi huwa hawaachi kuwasiliana na wakati mwingine hukumbushiana lkn inategemeana na walivyoachana ila lwa huyu waliachana kwasbb ya shida ila walikuwa wanapendana. Ila mkuu kwann usingetafuta mwanamke fresh ukaanza naye maisha?
Ok! Hongera kwa huo moyo ila mm nisingeweza lbd km angekuwa hana mtoto
Futa hii kauli kuna watu wengi wamezaa na hawawezi kukumbushiana asilani. Na hamna mawasiliano ya kijinga.
 
Futa hii kauli kuna watu wengi wamezaa na hawawezi kukumbushiana asilani. Na hamna mawasiliano ya kijinga.
Pole sana. Naona unaandika kitu ambacho hukijui.
Rudia kusoma ulichoandika lbd na ww utakielewa.

Neno watu wengi halimaanishi wote, kuna baadhi
Hao wengi hawacheat lkn baadhi wanacheat. Ww sijui upo upande gani?
''ingekuwa hakuna anayewasiliana na mzazi mwenzake hapo sawa.''
Ww hauwasiliani lkn wapo wanaowasiliana. Kuna nyuzi nyingi tu humu MMU zitafute.
Bado haujaniishawishi kufuta kauli.
Ila kiufupi mawasiliano huwa hayafi. Unafanya ngono tayari nafsi zenu zimeunganishwa kiroho ndiyo maana huwa ni vigumu sana kumsahau mtu mliyekutana kimwili
 
Nasubili mrejesho mwingine huyo bado anapendana na huyo aliye zaa nae. Ni shida tu ndo zimemrudisha kwako. Acha uzuzu.
 
Hongera mkuu.
Kweli ndugu yangu una huruma aiseeh.
Hii ni ngumu kumeza kwangu.
 
Dah ulivyoanza hapo juu nikajua ni mimi unazungumzia kuhusu kumtia mimba huyo mwanamke na mimi nina kahadithi kama hako.
 
Back
Top Bottom