Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
Haya mapenzi yanaweza yakafanya mtu aonekane ni chizi au umerogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unasema hivyooHaya mapenzi yanaweza yakafanya mtu aonekane ni chizi au umerogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akupe moyo huo huo. Hakika huyu mwanamke asipoona upendo wako na umuhimu wako nitamshangaa sana.Ndio mana mtoto wake nataka kumpeleka pre school mwakani Mungu akijalia
Wewe ungeamuaje
Mkuu m nisingemrudiaWewe ungeamuaje
Anadai alishawishika tuu na swaga za jamaaSwali mwambie kwanza akuambie kosa lako ad akaamua kuanzisha mahusiano na kuzaa na mwanaume mwingine
Waliachana kisa mwanaume hawajibiki home full misele hawa vijana
HahahahahahahahahahaaaaWewe ni mjinga she is just using you!! Hivi jamani wewe una ubongo kweli?????? BEST ONE BOY
Duuh [emoji15]
Duuuuu