Ukitaka uweze awe tu haogo kwa kipindi choote hiko cha mwaka mmoja
uwe unapanda kitandani huku unaziba pua..
hapo utaweza
kuboresha tu mwana. kwani we kama unataka kuboresha huwa mnafanyaje!.
Nadhani mkuu unachojaribu kufanya ni kama serikali inavyosema UCHUMI WA TZ UNAPAA wakati ukweli unaonekana dhahili hali ni mbaya bila hata elimu ya Chuo Kikuu.
Suala la kuchokana linatoka wapi? Kama ni hivyo nadhani wewe kama ni mkristo ungeambiwa wazi ukimchoka mwenzako mje mfungue ndoa. Kwa swali lako ni kama Padre/Mchungaji anakuuliza unapenda ndoa ya (a)Wake wengi,(b)Mke mmoja?
Halafu wewe ukachagua wake wengi undhani ndoa itafungwa kwa imani za kikristo?Lazima mtafukuzwa :A S-heart-2::violin:nje,ukipumzika unadhani kuna ndoa hapo,suala si kukaa mwaka mzima bila kufanya inatakiwa wakati mwingine mnapumzika lakini neno TUSICHOKANE mtakuwa mzunguukana tu huku kila mmoja akijifanya mwaminifu kwa mwenzake kwa huo utaratibu mbovu mnaojiwekea wenyewe.Mmeambiwa wazi :A S-rose::A S-rose::A S thumbs_up:msinyimane,ninyi mmekuja na lenu TUSICHOKANE.
Kazi kweli kweli. Duniani bado kuna mambo mapya. Kila la heri jamaniMi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.
Sasa bwashee, tukikula kila siku si tutachokana upesi!!, huoni nayo hiyo ni hasara/hatari kwa ndoa!.
we upo kwenye ndoa miaka mingapi? huo uboreshaji gani?watu wanaboresha kwa kuongeza romance, kubadili style na mandhari nyie mnaamua kunyimana au umekuja kutuchekesha humu
Mimi namuona kawa creative...wengi hizo njia tunazijua na wangapi wametumia na hazi work???
Hawa walichoamua ni kama separation; na separation ni njia moja wapo ya kuokoa ndoa.
Si kujisifia kuwa tunafanya daily huku mmoja wenu sura kakunja kama anatafuna ndimu.
Lol.