Maamuzi magumu kwenye Ndoa!

Maamuzi magumu kwenye Ndoa!

aahh kazi kweli kweli, mwanangu kua uyaone..lol
 
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.

Hapa kuna tatizo
1. Upungufu wa nguvu za kiume/kike (wanakimbia tatizo kwa kujifanya wanapeana likizo kuboresha penzi)
2. Kila mmoja ana kidumu kinachomliwaza (Nafsi zao zinawahukumu)
3. Huko ndani hawaelewani kabisa (inaweza ikawa imeletwa na 1 au 2)
4. Ubunifu katika tendo takatifu hakuna (mapishi au mshono ule ule wa miaka nenda rudi-namba 2 hapo juu wanafil the gap) kama ni kweli hiyo likizo ni justified kwao!!!

Suluhu!!
kuokoa ndoa jaribuni hili ( kama hamna mtoto mdogo)
1. Tafuteni nafasi hata ya sikiu 4-7 mfanye LOVE TRIP-mwende mbali kidogo eneo mnalo ishi-prefarably kijijini kwenu mtembelee ndugu na marafiki mkiwa pamoja ila simu mziache mjini. mwasiliano yawe ya ana kwa ana na manual.
2. Msianze kuulizana wapi mmekwazana just 4give each other na mkumbushane siku ya kwanza mlipotongozana na mlipodu day 1
3. Ondoeni aibu, mfundishane mitindo/stail mbali mbali, mnaweza kuvumbua moja itakoyowafaa wote!
4. Jengeni utamaduni wa "POST ACTIVITY PERFORMANCE ANALYSIS & COMMENT" ruksa kwa mmoja wenu kuomba "wansimoa"
 
Nisemeeni wandugu, nina mtoto mmoja tuwa miaka 14 kwa bahati mbaya nilifiwa na watoto wawili mfululizo kwa mke wangu huyo wakati wa kujifungua na tangu hapo nimepoteza hamu kabisa ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu na sasa ni mwaka na miezi sita. Naona kama kwa kuendelea kutafuta mtoto huenda ikatokea nuksi ile ile, je ni sawa ?
 
huo mchezo we inaonekana
huuwezi...mi nashauri acheni hiyo kitu kabisa kwa sababu mnaweza kuishia
kwenda nje ya ndoa bure..kila mmoja wenu akifika hom anajidai mpole
anavumilia kumbe kashapewa kitu cha haja huko nje...matokeo yake nii
maradhi ya zinaa pamoja na kupoteza uaminifu huo mnaodhani mnautafuta
kupitia mchezo wenu huo...acheni kabisa kama mnataka kunusuru ndoa
yenu..mkae mkijua kuwa kuna mambo ya kujaribu lakini sio hili
jamani...mtakuja kujuta...kwanza ni nani kawafundisha?!!mh, hii yenu
kali!!!!

Waacheni jamani wenzenu wamepeana 'space'! Hizi tamthilia na novel!
 
heheheeee,yeba!ungeweka na angalizo la 'don't try this at home'.
 
Kama kufanya maamuzi kama haya, ndio unaonekana uko nganari....basi naomba kuanzia leo niitwe Mr Dhaifu jr!

Babu DC!!
 
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.
na uzoefu wangu wa mchakato karibu robo karne sasa,hili kwangu ni jipya ,dah kumbe bado sijajua mbinu za uboreshaji bana!hii naiita pata ona bado!dah!
 
na uzoefu wangu wa mchakato karibu robo karne sasa,hili kwangu ni jipya ,dah kumbe bado sijajua mbinu za uboreshaji bana!hii naiita pata ona bado!dah!

Naona jamaa anataka kufanya majaribio ya kuonka cynide!!

Lakini hii dunia ina mambo mengi...ndo maana wengine siku hizi wanatembea watupu mitaani eti wanataka kurudi kwa akina Adam na mkewe!

Babu DC!!
 
angalia jombaaaaa utakuta mwenzako anakula kwa jirani we vunga tu duniani na MWAMINI mwanamke moja tu MAMA MZAZI,
 
[h=2]Jinsi ya kulinda ndoa yako
Onyesha unampenda mwenzio hadharani (watu waone). Msijifichefiche
. Mfano utakuta wanandoa wanapoongozana mume au mke katangulia mbele kama mita 5, hii si nzuri kabisa kwa afya ya ndoa.[/h] unaikumbuka hiyo sredi yako?wewe uliona kwa upande huu ambao hauna tija na mtazamo finyu sana!sasa hayo maamuzi unayoyana magumu,yatakugharimu sana,hiyo ndio ndoa yenyewe dogo!!watu tutakuchapia mkeo mpk ushangae
 
Hakuna hayo. Lengo ni kuboresha tu, yaani tusichokane. Lingine ni uwezo wa kuvumilia bila kufanya tendo kwa muda mrefu, kwa mana kwamba ikitokea siku mmoja wetu akiwa mbali na mwenzie labda kikazi au kimasomo, basi awe na uzoefu wa kuvumilia. lakini jingine tena ni kushindana, nani kati yetu anaweza kuvumilia zaidi.
kakangu mwanamke ana uwezo wa kukaa hata miaka ma 2 without having sex lakini kwa mwanaume haizidi mwezi, so mpaka hapo ulishashndwa, na mkeo alijua makusudi kwmba hutoweza so akakukubalia makusudi ili aone coz ni ki2 ambacho hakipo, endelea kula vilaini baba shauri yako, watakusaidia wenzio ooooh CHEZEA TAMU WEYE?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
kuboresha tu mwana. kwani we kama unataka kuboresha huwa mnafanyaje!.

Huku sio kuboresha ni kuzorotesha. Nina mashaka kati yenu kuna mmoja mwenye agenda ya siri!!!!!!!!!!!!
 
Huku sio kuboresha ni kuzorotesha. Nina mashaka kti yenu kuna mmoja mwenye agenda ya siri!!!!!!!!!!!!

ukisoma Signature yake anakuambia...
GOOD JUDGEMENT COMES FROM EXPERIENCE, BUT EXPERIENCE COMES FROM BAD JUDGEMENT.
 
Wote tunaamini kwamba yuko Mungu na tunaamini Mungu anatupenda na anatulinda na kututunza. Katika msingi huo koroga sumu kwenye glasi halafu useme katika jina la Yesu nakunywa sumu hii uone kama huvuti saa hiyo hiyo. Pamoja na upendo na ulinzi wake kwetu hatujapewa ruhusa ya kumjaribu katika jambo lingine lolote ispokuwa katika kumtolea sadaka tu. Hivyo kumjaribu Mungu kwa kutofanya tendo la ndoa kwa mwaka mmoja na mke wako bila sababu ya msingi kama ugonjwa ni kujiingiza majaribuni na hamtoki ni lazima pepo la uzinzi liwasarandie na hamponi. Na kama ni kweli mmefanya hivyo nina mashaka wewe umeshazini mpaka sasa hata kwa mawazo. Na nia hasa ya zoezi hili ni nini? Acha wivu wa kitoto au unamtafutia huyo mtoto wa watu sababu ya kumwacha ili uingize mwingine?

Hiyo ndoa yenu ina umri gani?
 
Hapa kuna tatizo
1. Upungufu wa nguvu za kiume/kike (wanakimbia tatizo kwa kujifanya wanapeana likizo kuboresha penzi)
2. Kila mmoja ana kidumu kinachomliwaza (Nafsi zao zinawahukumu)
3. Huko ndani hawaelewani kabisa (inaweza ikawa imeletwa na 1 au 2)
4. Ubunifu katika tendo takatifu hakuna (mapishi au mshono ule ule wa miaka nenda rudi-namba 2 hapo juu wanafil the gap) kama ni kweli hiyo likizo ni justified kwao!!!

Suluhu!!
kuokoa ndoa jaribuni hili ( kama hamna mtoto mdogo)
1. Tafuteni nafasi hata ya sikiu 4-7 mfanye LOVE TRIP-mwende mbali kidogo eneo mnalo ishi-prefarably kijijini kwenu mtembelee ndugu na marafiki mkiwa pamoja ila simu mziache mjini. mwasiliano yawe ya ana kwa ana na manual.
2. Msianze kuulizana wapi mmekwazana just 4give each other na mkumbushane siku ya kwanza mlipotongozana na mlipodu day 1
3. Ondoeni aibu, mfundishane mitindo/stail mbali mbali, mnaweza kuvumbua moja itakoyowafaa wote!
4. Jengeni utamaduni wa "POST ACTIVITY PERFORMANCE ANALYSIS & COMMENT" ruksa kwa mmoja wenu kuomba "wansimoa"

Si kwamba kila siku ni Jumapili!!.
 
Jinsi ya kulinda ndoa yako
Onyesha unampenda mwenzio hadharani (watu waone). Msijifichefiche
. Mfano utakuta wanandoa wanapoongozana mume au mke katangulia mbele kama mita 5, hii si nzuri kabisa kwa afya ya ndoa.

unaikumbuka hiyo sredi yako?wewe uliona kwa upande huu ambao hauna tija na mtazamo finyu sana!sasa hayo maamuzi unayoyana magumu,yatakugharimu sana,hiyo ndio ndoa yenyewe dogo!!watu tutakuchapia mkeo mpk ushangae

Jaribu unase!
 
Watu wana hatari hee ngoja uugue ugonjwa wa ukosefu wa Mbunye .
 
Back
Top Bottom