Maamuzi magumu kwenye Ndoa!

Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.

Angalia usije kufumba macho na masikio wakati unavuka reli
 
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.

Kweli nimeamini binadamu tuna mawazo tofauti na maamuzi magumu na saa nyingine ni ngumu mtu kukuelewa, Khaaa!
Sikia huyo ni mkeo, we uzalendo ukikushinda kambane kwenye angle maana naamini hata yeye kama hana mtu nje atakuwa amekumiss vya kutosha. Jipe raha, bwana acheni kujipa adhabu zisizo na msingi.
 
Haya kwanza mlifikwa na nini mpaka mkafikia huko? maisha yenyewe mafupi ukavae nguo kwakujificha ndio mwanzo wakunyimwa wewe akapewa mwenzio,usigeuke pweza ukajipalilia moto mwenyewe huo sio mchezo mzuri kabisaaaaaaaaa.na usijaribu tena.
 
Mwaka Mmoja = Miezi 12
Mwaka Mmoja = Wiki 52
Mwaka Mmoja = Siku 366
Mwaka Mmoja = Masaa 8766
Mwaka Mmoja = Sekunde 31556926
Mwaka Mmoja = Sex mara moja
Mwaka Mmoja = Mabao mangapi?
 
huo mchezo we inaonekana huuwezi...mi nashauri acheni hiyo kitu kabisa kwa sababu mnaweza kuishia kwenda nje ya ndoa bure..kila mmoja wenu akifika hom anajidai mpole anavumilia kumbe kashapewa kitu cha haja huko nje...matokeo yake nii maradhi ya zinaa pamoja na kupoteza uaminifu huo mnaodhani mnautafuta kupitia mchezo wenu huo...acheni kabisa kama mnataka kunusuru ndoa yenu..mkae mkijua kuwa kuna mambo ya kujaribu lakini sio hili jamani...mtakuja kujuta...kwanza ni nani kawafundisha?!!mh, hii yenu kali!!!!
Hakuna hayo. Lengo ni kuboresha tu, yaani tusichokane. Lingine ni uwezo wa kuvumilia bila kufanya tendo kwa muda mrefu, kwa mana kwamba ikitokea siku mmoja wetu akiwa mbali na mwenzie labda kikazi au kimasomo, basi awe na uzoefu wa kuvumilia. lakini jingine tena ni kushindana, nani kati yetu anaweza kuvumilia zaidi.
 
huo mchezo we inaonekana huuwezi...mi nashauri acheni hiyo kitu kabisa kwa sababu mnaweza kuishia kwenda nje ya ndoa bure..kila mmoja wenu akifika hom anajidai mpole anavumilia kumbe kashapewa kitu cha haja huko nje...matokeo yake nii maradhi ya zinaa pamoja na kupoteza uaminifu huo mnaodhani mnautafuta kupitia mchezo wenu huo...acheni kabisa kama mnataka kunusuru ndoa yenu..mkae mkijua kuwa kuna mambo ya kujaribu lakini sio hili jamani...mtakuja kujuta...kwanza ni nani kawafundisha?!!mh, hii yenu kali!!!!

Sasa bwashee, tukikula kila siku si tutachokana upesi!!, huoni nayo hiyo ni hasara/hatari kwa ndoa!.
 
ingekuwa tunafanya majaribio kama haya ktk sekta ya teknolojia wachina wasingetutisha.....hiyo ni sawa na mwanafunzi anayebandua tangazo la madeni ya ada wakati kuna nakala ofisini..............WEWE UNASEMA MDOMONI WAKATI MOYONI THERE IS BIG NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
si kuwa mnatakiwa kula kila siku, siku nyingine mnapotezea ili kuupa mwili nguvu ya kudo tena...ila kwa staili yenu hiyo, mimi sijaiafiki aisee maana kucheat hapo ni nje nje kumbuka uhitaji wa hii kitu ni nature, not to mention mnaishi pamoja hapo hom...plz revise this whole issue...the earlier the better...
Sasa bwashee, tukikula kila siku si tutachokana upesi!!, huoni nayo hiyo ni hasara/hatari kwa ndoa!.
 
Sasa bwashee, tukikula kila siku si tutachokana upesi!!, huoni nayo hiyo ni hasara/hatari kwa ndoa!.

Kwa kuwa mnashindana kitakachotokea ni hiki...mkeo atakuwa anapigwa nje na wewe utakua unagonga nje...mwisho wa mwaka kila mtu ni bingwa simply ni vile hamjagongana
 
Mimi mbona hilo zoezi nimelipenda tu?

Sometimes inabidi tujifunze kujinyima. Yes mwaka unaweza kuwa ni mwingi sana...ila nimependa jinsi walivyo creative kwenye kurudisha matamanio yao for one another.

Niliwahi soma similar story...kuna mdada yeye alijiwekea kuwa hatojiangalia kwenye kioo for a year. Ni long story na alieleza ni kwa nini. Na aliweza kwa msaada wa marafiki zake; ambao walikuwa wanavua hata miwani wakiwa nae ili asione reflection yake. Hakang'oa vioo vyote mabafuni na kila mahali nyumbani kwake. Hata siku tya harusi yake alipakwa make ups bila kujiangalia.

Nilimtamani sana huyu mdada...hasa pale alipoamua kujiangalia baada ya mwaka.

Nilichojifunza ni kuwa we can be in control of our bodies and minds
 
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.
inawezekana tafuta tu ka aisha nje...mwaka ukiisha unarudi ndani
 
Ukitaka uweze awe tu haogo kwa kipindi choote hiko cha mwaka mmoja
uwe unapanda kitandani huku unaziba pua..
hapo utaweza
 
Back
Top Bottom