Maamuma's Thread:Inakuwaje ikiwa....

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wanajamii naomba kuweka hii mada hapa ambayo maamuma alikuwa ameipost katika thread ya "The Remainder....) Nadhani inastahili kuwa thread mpya kwa heshma na taadhima naomba niiweke hapa kwa niaba ya Maamuma.(Samahani kama nitakuwa nimekosea)

WanaJF, naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo ambalo lipo miongoni mwa baadhi ya wanandoa. Ntafananisha ndoa (mke na mume) kama kufuli na ufunguo. Kimaadili ni kwamba huruhusiwi kukutana kimwili na mchumba wako hadi siku ya ndoa (au baada ya ndoa). Sasa inakuwaje unapokuja kugundua kwamba kufuli ulilochukua haliendani na ufunguo wako? Nina maana ya majambo ya chumbani. Mtu huruhusiwi kujaribisha ufunguo kama unafunguaje kufuli, labda kwa taabu au unapwaya au hadi uweke grisi. Hapo nadhani ndio mwanzo wa mtu kwenda nje kutafuta kufuli linaloendana na ufunguo. Vinginevyo uhusiano wa chumbani unakuwa na upungufu kama huo wa pasi kuchelewa kuwaka au haiwaki kabisa. Balbu nayo inapata shoti mara kwa mara. Mnasemaje kuhusu hili? Tuendelee kuelimishana.
 
Duh Maimuma swali lako gumu! Inawezekana kukawa na kipimo cha kukusaidia kujua size, kwa wanawake nakumbuka sie tulikuwa tunaambiwa eti unaangalia kidole chake (mtarajiwa) cha kati ndicho kitakupa hint juu ya size yake. Makubwa.
 
Maamuma's has a GREAT POINT.
Thanks kwa lugha uliyotumia imenikumbusha mbali sana. Enzi nasome kiswahili na vile vitabu vya fasihi.
Well ni kweli kabisa, at time nilikutana na msichana nikashindwa kabisa kabisa uingiza ufunguo wangu. Kitobo cha kofuli kilikuwa kidogo sana. Or may be funguo wangu ulikuwa mnene mno. So in that situation, ni very tricky sana kama tayari ulishafunga pingu. So to me, we had to cancell the relationship kwani ilikuwa ni karaha to both of us. So the chanllenge is how can we still wait until marriage??? how can we survive those kinds of challenges?
 
Shapu yaani ni kweli kabisa kuwa inapotokea hivyo inawezekana ikawa ni tabu. But ni kweli kuna hizo extreams? za ufunguo kuwa mkubwa nthan kufuli? Si wanadai kufuli inauwezo wa kumudu ufunguo despite the size?

Mimi nafikiria tabu itakuwa kama kufuli ni kubwa sana au funguo ni ndogo sana hapa nadhani hata kufungua mlango kwa mafanikio itashindikana.
 
Asante MJ1 kwa kuiweka kama thread. Nilidhani itakuwa duplication. Haya na tuendelee.
 
Kwani enzi za mababu, au katika jamii zisizoruhusu kutesti, inakuwaje pale watu wameshafunga ndoa halafu ikatokea kuwa hakuna compatibility/
 
Jamani hivi bado siku hizi bado unachua kufuli bila kujaribu ufunguo eh?? Sidhani kama hayo bado yapo!!!!

Kama funguo kubwa kufuli ndogo unapakaza utelezi tu itateleza na inaingia bila mikwaruzo.....
 
Kwani enzi za mababu, au katika jamii zisizoruhusu kutesti, inakuwaje pale watu wameshafunga ndoa halafu ikatokea kuwa hakuna compatibility/
Enzi za mababu imeshatokea mara nyingi kwamba mmoja wa wanandoa hao au wote wawili wanakuwa hawaoni raha ya tendo la ndoa. Kuna wanawake ambao wamedumu kwenye ndoa kwa muda mrefu sana (labda hadi uzeeni) lakini hawajui kwamba hata mwanamke naye anasikia raha ya lile tendo. Mwanamume naye anafanya tu kwa vile balbu imewaka, anajitahidi hadi izimike kwa utaratibu wa kawaida, lakini raha hamna.
 
Mwana hahahahahahaha!
Tatizo lipo wapi unajua?????
Mwenye uelewa atuambie tatizo lipo wapi?
 
Shapu yaani ni kweli kabisa kuwa inapotokea hivyo inawezekana ikawa ni tabu. But ni kweli kuna hizo extreams? za ufunguo kuwa mkubwa nthan kufuli? Si wanadai kufuli inauwezo wa kumudu ufunguo despite the size?

Mimi nafikiria tabu itakuwa kama kufuli ni kubwa sana au funguo ni ndogo sana hapa nadhani hata kufungua mlango kwa mafanikio itashindikana.

Hebu acheni hizo hadithi za kufikirika...inaelekea suala zima la mapenzi wengi hatuna darasa la kutosha.....nakushauri wewe na wenzako hapa msome hiki kitabu

Things Your Mother Never Told You by Marion McGilvary
Kuna tips kibao za kukabiliana na jamaa mwenye shaft kubwa ama ndogo style tofauti tofauti can help na hata mdada kwenye machine ndogo kufikishana. Kuna mambo mengi sana yanaweza fantasy mapenzi.....kama mdada uko kamili kitabu hiki huwezi regret kukinunua....wadada wengi sana hawajui maumbile yao hata K zao hawazijui....kunasehemu nilicheka mwandishi anasema mdada jitanue mbele ya kioo angalia kila sehemu......chezea loohh ....tafuteni hiki kitabu...amazon kipo.....
 
Kwani enzi za mababu, au katika jamii zisizoruhusu kutesti, inakuwaje pale watu wameshafunga ndoa halafu ikatokea kuwa hakuna compatibility/

Ukimbania jamaa ukadai mpaka siku ya harusi ndo kama jamaa iwa anaruka ukuta na kujiexpress sijui utafanyaje yeye anakwambia ndo mchezo wake mmetoka kusherekea na kuruka ruka na miplau na micake jamaa anataka kujiexpress usiku utajuuuuuuuuuuuuuuta kuolewa.
 
Shapu yaani ni kweli kabisa kuwa inapotokea hivyo inawezekana ikawa ni tabu. But ni kweli kuna hizo extreams? za ufunguo kuwa mkubwa nthan kufuli? Si wanadai kufuli inauwezo wa kumudu ufunguo despite the size?

Mimi nafikiria tabu itakuwa kama kufuli ni kubwa sana au funguo ni ndogo sana hapa nadhani hata kufungua mlango kwa mafanikio itashindikana.

MJ1,
Mhh umeniacha hoi. Mimi nilidhani kinyume chake. Kama kofuli ni kubwa sana mimi sioni tatizo la ufunguo. Ufunguo uwe mdogo au mkubwa then hamna shida utapenya tu kwenye hilo kofuli. Kuhusu ufunguo kufungua kwa ufasaha itategemea na mambo mengine yanayojumishwa katika ufunguaji wa kofuli hilo kama mikono kugonga gonga kofuli, uzungushaji wa kofulu na maeneo ya kofuli... vyote hivyo hichangia mafanikio ya ufunguaji kofuli. Sasa kasheshe huwa inakuwapo wakati ufunguo ni mkubwa sana kupita kofuli... hayo mambo mengine hayata apply kwani hata uweke gris kiasi gani bado funguo itashindwa kupenya. Na ndicho kilichonitokea mpaka kidogo nipasue kofuli aou nivunje ufunguo pale mpenyezo uliposhindikana. Nadhnai umenipata.
 
Ukimbania jamaa ukadai mpaka siku ya harusi ndo kama jamaa iwa anaruka ukuta na kujiexpress sijui utafanyaje yeye anakwambia ndo mchezo wake mmetoka kusherekea na kuruka ruka na miplau na micake jamaa anataka kujiexpress usiku utajuuuuuuuuuuuuuuta kuolewa.

yaani wewe!
 
Tatizo linakuja pale kufuli ni kubwa na ufunguo ni mdogo wakati wa kufungua unakuwa unaelea tuu. hapo kufuli halitafunguka
 
MJ1,
Mhh umeniacha hoi. Mimi nilidhani kinyume chake. Kama kofuli ni kubwa sana mimi sioni tatizo la ufunguo. Ufunguo uwe mdogo au mkubwa then hamna shida utapenya tu kwenye hilo kofuli. Kuhusu ufunguo kufungua kwa ufasaha itategemea na mambo mengine yanayojumishwa katika ufunguaji wa kofuli hilo kama mikono kugonga gonga kofuli, uzungushaji wa kofulu na maeneo ya kofuli... vyote hivyo hichangia mafanikio ya ufunguaji kofuli. Sasa kasheshe huwa inakuwapo wakati ufunguo ni mkubwa sana kupita kofuli... hayo mambo mengine hayata apply kwani hata uweke gris kiasi gani bado funguo itashindwa kupenya. Na ndicho kilichonitokea mpaka kidogo nipasue kofuli aou nivunje ufunguo pale mpenyezo uliposhindikana. Nadhnai umenipata.
Hahahahaha! Kugonga gonga kufuli kidogo! Umenikumbusha. Nyumba zingine zina masharti wakati wa kufungua kufuli. Eti "vuta kufuli kwa chini kidogo, ingiza ufunguo nusu halafu zungusha ufunguo clockwise kisha anticlockwise... sasa ingiza ufunguo wote", hapo kufuli linafunguka. Bila hivyo mamsapu ni vilio kila siku. Ah! jamani! hivi kuna huo muda wa kukariri matendo yote hayo kweli? Utaweza kufanya hivyo kila siku?
Raha yake bana mambo yaende automatic, au siyo jamani? One touch, kufuli inaachia taaap! Halafu wote mnachapa usingizi.
 
Hii mada ni nzuri na nikitu cha kuongelea kwa uwazi naomba wadau tuache kuchomekea maswala ya laini za simu.Kuna cousin wangu ilibidi tumuombe mumewe ampe talaka maana ilikua karaha tupu mpaka akakonda afu kila siku hospitali-ufunguo ulikua oversize, mpaka leo ana 'allergy' na wanaume hataki hata kuwasikia.
 
Soln ni moja tupu:::

Kabla ya kwenda sokoni kununua kufuli jitahidi kujaribisha funguo kabla ya kuondoka ukiondoka hiyo ni mali yako...............................meku............pole
wakati mwingine utakuta funguo zako fupi ama ndefu zinasaidia hata kufuli kuamua sasa nafunguka ama nagoma then mkishajua eachother kwamba oooh
kufuli nilionunua limefit hapo baba unaweza lipa pesa zao nje ya hapo wachaga wanasema

imekula kwako
 
yaani wewe!

Mi iwa nawaambia tatizo lenu jamaa akisha toa ofa kuwa anakuoa basi wewe cha kwanza kufuli unasema litafungwa mpaka siku ya harusi jamaa anavumulia siku ya harusi unakuta jamaa funguo yake ndogo kama peremende utakimbilia kwa nani na umeahidi mtaishi kwa shida na raha...
 
Hapo ndipo akina sie wenye master key(funguo malaya) tunapo enjoy, kila kufuli unapenya unachobadili ni mikao tu.
 
Sasa Swali: Je kuna haja ya wanandoa watarajiwa, wanapokwenda kupima Ukimwi, washauriwe kucheck pia compatibility ya kufuli na ufunguo kabla ya ndoa? Labda itasaidia kupunguza kuvunjika kwa ndoa ambako sasa takwimu zake hazileti matumaini.
 
Back
Top Bottom