Maalumu kwa wanaume wanandoa

Hyo haki ipi unayoisema wewe maana wakwepa majukumu wakubwa ni nyie
wewe ndio umesema haki zako ndio nakwambia wajibu kwanza haki inafuata,kukwepa majukumu kivipi,tofautisha kukosa pesa kutimiza majukumu na kukwepa
 
Umeona wao hujikita kuzalilishwa, Sasa sifa yetu kubwa na uanauke wetu ni kuzaa ni tendo la asili kabisa Wala sio adhabu.
Wanaume wa humu wakishindwa hoja huanza ramli chonganyishi
Ni wapiga ramli wazuri sana..
Hapo anakupigia ramli Wala hakujui..hayajui maisha yako ila anaassume tu.
 
😂 😂 😂 😂 we bibie una hasira na wanaume,walikufanya nini kwani? Kwa mujibu wa maandiko Kristo ni kichwa cha mwanaume na mwaanaume ni kichwa cha mwanamke..na hili utapinga na kusingizia mababu
 

Dada sijamfananisha Kristo popote nimerefer mistari ya kitabu Kitakatifu. Mungu siyo mwanadamu ahukumu kama cariha, hata mwanadamu akosee vipi haibadilishi neno la Kristo, pole kwa maumivu uliyo nayo.
 
Dada sijamfananisha Kristo popote nimerefer mistari ya kitabu Kitakatifu. Mungu siyo mwanadamu ahukumu kama cariha, hata mwanadamu akosee vipi haibadilishi neno la Kristo, pole kwa maumivu uliyo nayo.
Mimi sihukumu mtu Ila kufananisha Hawa watopolo na Kristo ni matusi makubwa ya nguoni kabisa. Hafu unatafsiri vibaya haya maandiko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we bibie una hasira na wanaume,walikufanya nini kwani? Kwa mujibu wa maandiko Kristo ni kichwa cha mwanaume na mwaanaume ni kichwa cha mwanamke..na hili utapinga na kusingizia mababu
Sina hasira ni maoni yangu tu au unateke niseme walinibaka na kuniacha single mother ka mnavojiaminisha.
Msifananishe Kristo na vitu vya kijinga
 
Ni wapiga ramli wazuri sana..
Hapo anakupigia ramli Wala hakujui..hayajui maisha yako ila anaassume tu.
Kwa kweli wata assume Sana lakini siwezi change what I believe. Si support mfumo wowote kandamizi kuanzia wa kihisia, Hadi physical abuse
 
Cancel you una maana kumkata au counselling ya ushauri?
 
Ni wapiga ramli wazuri sana..
Hapo anakupigia ramli Wala hakujui..hayajui maisha yako ila anaassume tu.
[emoji1546]hapo mbona hata wewe umepiga ramli pia ?
 
Mke kiburi utamjua tu kupitia kumsoma "Body language" hata ukishampiga utajua tu SoMo limeeleweka au Ni maigizo. Niki hisi dalili mbaya dhidi yako Kama vile unajifurahisha mbele yangu kusiko kua kwa Kawaida. Nitajua kuna Jambo unanificha. Siwezi kukuamini kirahisi...Si una act weird?.
Ukiweka hata chakula, ntakulazimisha uanze kukionja kwanza. Ukibisha Nakuvunja Mguu unarudi kwenu kilema na Ndoa kwisha. Saa hizo utaenda Home unachechemea na una mapengo.
 
Mimi sihukumu mtu Ila kufananisha Hawa watopolo na Kristo ni matusi makubwa ya nguoni kabisa. Hafu unatafsiri vibaya haya maandiko
Wengi hujificha kwenye kichaka Cha maandiko.
 
Ukakika wa kuwa nawe umepiga ramli? Yes ninao na ushaidi uko wazi hapo juu, ila uhakika wa ukweli au uongo jamaa alichosema dhidi yako sina.

Nachojua nawe umeongea kitu usichokijua kama Labda yeye alivyofanya, kwahy hii nayo inakufanya nawe uwe "mpiga ramli" pia, comprende?????
Una uhakika?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipi nisichokijua?
 
Wengi hujificha kwenye kichaka Cha maandiko.
Na Mimi nikiona mtu wa hivo nampuuzia hajielewi kabisa, mbona wanaume wengi wastaarabu hawajifichi kwenye kichaka Cha maandiko
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eti ukiona na act weird uniforce kula nikigoma unanivunja mguu sio Mimi cariha Wala, wewe siunatumia nguvu za ugali mhogo Mimi nitakuwa smart enough huwezi kuzania niliwazalo kabisa Hadi unajisahau kabisa kumbe moyoni na yangu agenda nakumaliza softly bila kuacha any trace kujulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…