Maalumu kwa wachepukaji

Maalumu kwa wachepukaji

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,740
Jiulize mchepuko wako umekusevu kwa jina gani, me nimeifumania simu ya mchepuko wangu nikaamua kucheck kanisevu kwa jina gani yani!!hapa nilipo sina hamu nae.

Nilitegemea kukuta jina zuri mh majanga, nimekuta kanisevu kwa jina la mmh!! napata shida kulitamka nimembwaga, wale wanachama wa michepuko ebu leo kagua simu ya mpezi wako utuletee mrejesho.
 
Jiulize mchepuko wako umekusevu kwa jina gani,me nimeifumania cm ya mchepuko wangu nikaamua kucheck kanisevu kwa jina gani yani!!hapa nilipo sina hamu nae,nilitegemea kukuta jina zuri mh majanga,nimekuta kanisevu kwa jina la mmh!! napata shida kulitamka nimembwaga,wale wanachama wa michepuko ebu leo kagua cm ya mpz wako utuletee mrejesho.

hujamalizia stori... lete jina alilokusave ili na wenzio wamwage hapa.
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

acha michepuko aisee,sa si unaona unavyodhalilika?
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

haikubaliki kabisa hiyo...piga chini haraka na anza upya maisha yako. Never TRUST any other woman except your MOTHER
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

unachomfanyia mwenzio amefananisha kama unazibua choo. Ameona unamzibua vizuri ndio maana akakupa jina la hilo.
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.
Tarime one, eti nini??? Fundi mzibua vyoo 2, ina maana kuna mzibua vyoo 1. Hahahaaaaa

Itakuwa huwa mnamzibua choo huyu. Acha tabia hiyo.
 
Ahahahahaaaaaaa mbavu zangu yani Bill instead of kumpa pole mwenzio unamzidiahia machungu
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

Umevuna ulichopanda....
Hiyo hela ungemuachia mkeo ingetumika kwa jambo la maana....acha mchepuko ukusevu unavyojisikia
 
Back
Top Bottom