Maalum kwa wanaume waliolelewa na mama tu

Maalum kwa wanaume waliolelewa na mama tu

Ni uongo kabisa. Hakuna ukweli wowote. Mtu anakuwa na tabia aliyolelewa nyumbani iwe familia ya mzazi mmoja au wote wawali. Na sio kwamba wamama wote wanaolea wenyewe wanawadekeza watoto wao.
 
Na mashoga yanayoendelea kujazana mitaani yamelelewa na single parent au?ulegevu ni Tania tu aijarishi kalelewa na nan?
 
Pia huwa na utegemezi wa mawazo. Mawazo ya mama ndio yake. Wanasumbuaje kwenye ndoa, maana hamuwezi kupanga yenu mpaka aulizwe mama.
 
wengi wao wanakuwa wanawajali wanawake, ila pia wanakuwa wanamiss kitu inaitwa adabu sababu wamekuwa katika mazingira wao ndo wanaume wa nyumba. all in all, mtoto wa kiume anahitaji a father figure wakati anakua

Omba alelewe na baba mwenye busara mana kama baba ni mnyanyasaji watoto wa kiume wanakua na atitude mbaya za kutokuwa na huruma so ndoa wengi zina washinda.
 
naona kama kuna ukwel hviii....
 
wanapenda kudeka sana hii meishuhudia kwa kaka mmoja kagombana na mke wake kazira kachukua vitu vyake kaenda kukaa ka mama yake duu meshangaa kweli kweli kijana 32 aged anadeka khaaa ajabu hii
 
kwa hiyo wadada ambao ni single mothers watoto wao wako hatarini kuwa hivi?
 
Mimi najua wengi 70/100 waliolelewa na mama wamefanikiwa sana maishani,fuatilia wengi waliofanikiwa kwa kiwango kikubwa wakupe historia zao,utaambiwa wamelelewa na mama.
 
Wana mbinu za kutongoza hao kwani wamezoea kucheza na akina mama!
 
Inategemea na aina ya mzazi mi Nina mamaangu mkubwa analea wanae wakiume watupu wanne.Aaisee hamna kudekeza watt wala nini zamu za kupika km kawa,na deki wanapiga so inategemea sana jinsi walivyolelewa.
Malezi ni zaidi ya kupangiwa kupika na kudeki. Mama na baba wote wana nafasi zao kwenye malezi ya mtoto. Watoto wa kiume wanaolelewa na mama pekee au wa kike wanaolelewa na baba pekee huwa wana tabia fulani hivi ambazo ni ngumu sana kuzikuta kwa watoto waliolelewa kwa pamoja na baba na mama. Kwa mfano ni ngumu sana kwa watoto wa kike waliolelewa na baba pekee kumwamini mwanaume na kumpenda kiukweli kweli labda kama baba yake awe amekufa.
 
wanapenda kudeka sana hii meishuhudia kwa kaka mmoja kagombana na mke wake kazira kachukua vitu vyake kaenda kukaa ka mama yake duu meshangaa kweli kweli kijana 32 aged anadeka khaaa ajabu hii

wacha adeke maana mapenzi ya kweli ni kwa mama tuu...mke kitu gani bwana unaweza replace whenever u so choose to do so.
 
Aaaah unanisema mm kwa vile nimelelewa na mama peke yake toka 7 yrs mpaka leo hii elimu ya mama haipatiakan sehemu yoyote haswa akiwa na dini,hekima na mengineyo ila hapo umepatia baadhi toka nianze kuwa na uhusiano na mwanamke sijawah kuumiza mwanamke wala hata kuacha weng wanatafuta ustaarabu wakusepa wenyewe najua kucare hujakosea, ukiniona tuu utajua nimelewa na mama sjazoea taabu ni mpole balaa mpaka utaogopa nimeridh ukarimu ila mm sdeki nilikuwa nadeka kwa mamaaa nasikwel wanaosema hatuna maamuzi ni tabia ya mtu sasa
 
wacha adeke maana mapenzi ya kweli ni kwa mama tuu...mke kitu gani bwana unaweza replace whenever u so choose to do so.

kilichonisuprise ni vile alivyofunga vilago na kwenda kwa mama inaonyesha jinsi gan anavyoyakimbia matatizo na sio kuyatatua
 
Omba alelewe na baba mwenye busara mana kama baba ni mnyanyasaji watoto wa kiume wanakua na atitude mbaya za kutokuwa na huruma so ndoa wengi zina washinda.

all in all waliolelewa na single parents they always miss something, sasa kuna wale waliolelewa na wajomba, shangazi, dada mkubwa, kaka mkubwa, jirani etc....unaweza kukuta mtu anakuwa na tabia hazieleweki ila kuna wachache huwa wanatokea kuwa na tabia nzuri na mwelekeo mzuri wa maisha. ila kulea mtoto ambaye si wako nayo ni kazi!
 
kilichonisuprise ni vile alivyofunga vilago na kwenda kwa mama inaonyesha jinsi gan anavyoyakimbia matatizo na sio kuyatatua

ah saa nyingine bora uyakimbie matatizo maana kama mke taka kukuua wewe kwa nini ubaki
 
Back
Top Bottom