samweli wa pili
JF-Expert Member
- Mar 21, 2018
- 410
- 287
Afadhali kama bado yupo. Nunua kitu mpelekee, atafurahi.Dah kmmk huu uzi umenifanya nimuonee sana huruma dingi, kipindi kile niko dogo nilikua sijielewi yale ,aisha yakukompea na majirani, eti baba fulani kannunua tivii sisi hatuna nikawa namchukia dingi bila sababu,
Kuna siku nilikua napiga stori na anko akaniadithia kua mshua alikua ikifika likizo yeye hapumziki anaenda magodown kufanya vibarua mpaka likizo inaisha anarudi job daah niliumia sana,
Kifupi ngoja wikiendi niende nikamuangukie asee.