Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Hiyo habari umeiona ?Akili imemuingia sasa!!
Mwananchi, kauli ya leo..nenda FB ya mwananchi.Tupe link mkuu .
Kidogo kidogo mchezo huu unabadilika...hado 2020...watu watasusa kupiga kura.sijamaind saaaaaaaaaaana hii kauli
Hakika...FB page ya mwananchi leo.
Kama ni kweli
Nataka niwaone walio kuwa wana m dis prof watasemaje!!
Tujifunze kuweka akiba ya maneno jamani.
Acheni kupotosha, Maalim Seif amesema yupo tayari kufanya Mdahalo na Bwana Yule lakini huwa anamkwepa sanaKatibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kwa mazungumzo mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba [HASHTAG]#MwananchiLeo[/HASHTAG]
My take;
Huu ndio ukubwa,CUF itajengwa na wana CUF...wakati nyie mnalumbana wenzenu wanazunguka huku nakule kuwaambia wananchi kuwa ukawa ni wao,ninyi hampo tena.
Kadiri siku zinavyoenda,anagundua ndugu si sawa na mpita njia.hahahaha Sasa Maalim seif ameanza kuwa mtu mzima....
Mwananchi wame 'update' kwenye FB wall page yao mchana huu.Kama ni Kweli Basi ni Jambo Jema!
Mkuu nashukuru kwa kithibitisho...hawa vijana wamekithiri kubadili sentensi na vichwa vya habari...kuna uzi umeanzishwa eti 'Lipumba asalimu amri'' ili kupotosha.Aufute kwa sababu zipi?? Kuwe NYUMBU ni tatizo kubwa sana
Tatizo lenu vijana wa chadema ni uongo wa asili...yaani gazeti limemnukuu Seif wewe unabadili sentensi kuleta maana yako?...hivi hadi lini mtaendelea kuwa wajinga? mkidanganywa na manabii wa uongo enyi wa imani haba?Acheni kupotosha, Maalim Seif amesema yupo tayari kufanya Mdahalo na Bwana Yule lakini huwa anamkwepa sana