Maalim Seif: Nipo tayari kuzungumza na Prof. Lipumba

hii maada ukisoma kwa nje ni tofauti na yaliyomo ndani, heb rekebisha kichwa cha habari kwanza ili tuelewane
 
Na kweli ifike stage wote watoke waachie watu wapya, sasa chama kinakuwa kama mali ya watu binafsi, wana washinda hata CCM kila miaka 10 wana badilisha uongozi bhana!
Wapinzania wa nchi hakuna point yoyote ya kujitetea mtu kuwa chair au katibu wa chama kwa miaka 17 au 20, ndio maana baadae wana viua tuu hivyo vyama.
 
Aufute kwa sababu zipi?? Kuwe NYUMBU ni tatizo kubwa sana
emoji1541.png
emoji1541.png
emoji1541.png
emoji1541.png


b5e1dd863d9180cc0772a53b601406cd.jpg


Signature
WEKENI AKIBA YA MANENO by ZZK
Utamdanganya nani ? Tangu lini mdahalo ukawa mazungumzo ?
 
mtaelewa tu mwaka huu!! sisiemu ina mizizi mpk ndani ya upinzani!! siasa Ni hatari sana yani kila chama cha siasa Tanzania kiongozi wao anatumika na government
 

Kama ni kweli
Nataka niwaone walio kuwa wana m dis prof watasemaje!!

Tujifunze kuweka akiba ya maneno jamani.
Ndg yangu usishabikie uwongo kama zuzu Fanya utafiti. Alichosema Maalimu ni kuwa yupo tayari kufanya mdaharo na profesa uchwara na wala si mazungumzo. Tofautisha mazungumzo na mdaharo
 
Back
Top Bottom