Maalim Seif: Nipo tayari kuzungumza na Prof. Lipumba

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Katibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kwa mazungumzo mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba [HASHTAG]#MwananchiLeo[/HASHTAG]

My take;
Huu ndio ukubwa, CUF itajengwa na wana CUF...wakati nyie mnalumbana wenzenu wanazunguka huku na kule kuwaambia wananchi kuwa ukawa ni wao, ninyi hampo tena.
 
Katibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kwa mazungumzo mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba [HASHTAG]#MwananchiLeo[/HASHTAG]
 
Attachments

  • SEIF.PNG
    SEIF.PNG
    80.3 KB · Views: 56
Maalim Seif na CUF wote wamerithi DNA ya usultani inawasumbua sana kwa mfano lipumba na Maalim Seif wanatofauti gani na MUGABE?kuanzia 1995 wanang'ang'ania wagombee wao Urais
 
Katibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kwa mazungumzo mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba [HASHTAG]#MwananchiLeo[/HASHTAG]

My take;
Huu ndio ukubwa,CUF itajengwa na wana CUF...wakati nyie mnalumbana wenzenu wanazunguka huku nakule kuwaambia wananchi kuwa ukawa ni wao,ninyi hampo tena.
Acheni kupotosha, Maalim Seif amesema yupo tayari kufanya Mdahalo na Bwana Yule lakini huwa anamkwepa sana
 
Acheni kupotosha, Maalim Seif amesema yupo tayari kufanya Mdahalo na Bwana Yule lakini huwa anamkwepa sana
Tatizo lenu vijana wa chadema ni uongo wa asili...yaani gazeti limemnukuu Seif wewe unabadili sentensi kuleta maana yako?...hivi hadi lini mtaendelea kuwa wajinga? mkidanganywa na manabii wa uongo enyi wa imani haba?

LikeShow more reactions
CommentShare
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom