Maalim Seif: Nipo tayari kuzungumza na Prof. Lipumba

Ww mchumia tumbo!
Wapi Maalim kasema haya madudu uliyo andika?Nakupeleka kwa mods wa hapa wakuadhibu kwa uongo wako!Jitu zima unapokuwa muongo unaji aibisha tu
Maalim alicho sema wote tumekisikia!Maalim yupo tayari kwa MDAHALO kuwaeleza watz ana kwa
ana kwa nn CUF haimtambui na Prof Lipumba nae atatueleza kwa nn CUF imtambue!
Hamna mahali Maalim alisema yupo tayari kuzungumza na huyu Kafiir wenu!
Mbona unakua na hasira? 'mdahalo' ni kitu gani dogo angali kaenda mahakamani...kwani wanahitaji kura? jitambue,usifubazwe akili..utaacha lini kuwa msukule wewe dogo?
 
Unapotosha hajasema hivyo. Amesema yuko tayari kuwa na mdahalo na Lipumbavu.

Kadadavue yako
Mdahalo ndio utampa ruzuku? mnapindisha ukweli kwa faida ya nani? Sefu keshaona hana hoja mahakamani, na chadema walishamchuuza....ngoja anyooke tu, ni jambo zuri kwa yeye kuomba msamaha. Pesa dogo!
 
Haombi msamaha, kama ndio mtego wenu umeshafyatuka. Mnampangia acheze ngoma zenu za kichawi? Chezeni wenyewe

Huyo Propesa Lipumbavu angejiunga nanyi ale kwa uwazi. Hana na nyinyi hamna ubavu wa kufikia malengo wala akili ya kutafuta wala kuvuruga. Mmesahau container la mapanga lilivyoyayuka?

Mtachutama tu muda ndio msema kweli CUF siyo NCCR na wala Sefu siyo Mrema.
 
Mbona unakua na hasira? 'mdahalo' ni kitu gani dogo angali kaenda mahakamani...kwani wanahitaji kura? jitambue,usifubazwe akili..utaacha lini kuwa msukule wewe dogo?
WEKA hapa clip inayo onyesha kuwa Maalim kasema yupo tayari kuzungumza na huyu Kafiir!
Usimuwekee maneno yako Maalim please
 
Sasa mtatiro atashika wapi..??!!maana ameongea maneno yote hajabakiza ya kesho..huu ni mwanzo wa kuyumba kisiasa.
 
Haombi msamaha, kama ndio mtego wenu umeshafyatuka. Mnampangia acheze ngoma zenu za kichawi? Chezeni wenyewe

Huyo Propesa Lipumbavu angejiunga nanyi ale kwa uwazi. Hana na nyinyi hamna ubavu wa kufikia malengo wala akili ya kutafuta wala kuvuruga. Mmesahau container la mapanga lilivyoyayuka?

Mtachutama tu muda ndio msema kweli CUF siyo NCCR na wala Sefu siyo Mrema.
Muandalieni Sefu cheo huko chadema,anakuja.
 
Katibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kwa mazungumzo mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba [HASHTAG]#MwananchiLeo[/HASHTAG]

My take;
Huu ndio ukubwa, CUF itajengwa na wana CUF...wakati nyie mnalumbana wenzenu wanazunguka huku na kule kuwaambia wananchi kuwa ukawa ni wao, ninyi hampo tena.
Kuzungumza na pro pesa ni kumpa kiki kwa dhambi anazofanya..
 
Katibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kwa mazungumzo mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba [HASHTAG]#MwananchiLeo[/HASHTAG]

My take;
Huu ndio ukubwa, CUF itajengwa na wana CUF...wakati nyie mnalumbana wenzenu wanazunguka huku na kule kuwaambia wananchi kuwa ukawa ni wao, ninyi hampo tena.
Ahhhh wapi anajikosha tu huyo Mzee wa Ubaguzi ili atawale !!! Kama ingekiwa kama amavosema mbona Mh Mwenyekiti amesema kila akimpigia simu hapokei Je anachosema kina ukweli wewe tumeigundua janja yako

Seif tumekuchoka Siasa si fani yako chama umekiuwa kwa kwa Ubaguzi na kuhodhi madaraka wewe tu na kujifanya Mungu Mtu
 
Back
Top Bottom