Maalim Seif: Nipo tayari kuzungumza na Prof. Lipumba


W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,205
Likes
9,493
Points
280
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,205 9,493 280
Katibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kwa mazungumzo mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba [HASHTAG]#MwananchiLeo[/HASHTAG]


My take;
Huu ndio ukubwa, CUF itajengwa na wana CUF...wakati nyie mnalumbana wenzenu wanazunguka huku na kule kuwaambia wananchi kuwa ukawa ni wao, ninyi hampo tena.
 
K

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
3,999
Likes
4,540
Points
280
K

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
3,999 4,540 280
sijamaind saaaaaaaaaaana hii kauli
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,106
Likes
55,519
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,106 55,519 280
Tupe link mkuu .
 
Iceman 3D

Iceman 3D

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Messages
20,732
Likes
66,716
Points
280
Iceman 3D

Iceman 3D

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2016
20,732 66,716 280

Kama ni kweli
Nataka niwaone walio kuwa wana m dis prof watasemaje!!

Tujifunze kuweka akiba ya maneno jamani.
 
All TRUTH

All TRUTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
3,624
Likes
1,176
Points
280
All TRUTH

All TRUTH

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
3,624 1,176 280
Soma vizuri title yako kiongozi
 
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
14,037
Likes
4,557
Points
280
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
14,037 4,557 280
Mbona kizunguzungu hapa mleta mada hebu soma ulichokipost kwanza
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,083
Likes
16,612
Points
280
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,083 16,612 280
hahahaha Sasa Maalim seif ameanza kuwa mtu mzima....
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,032
Likes
10,396
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,032 10,396 280
Maalim Seif na CUF wote wamerithi DNA ya usultani inawasumbua sana kwa mfano lipumba na Maalim Seif wanatofauti gani na MUGABE?kuanzia 1995 wanang'ang'ania wagombee wao Urais
 
NTEGEYE Jr

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
320
Likes
283
Points
80
Age
40
NTEGEYE Jr

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
320 283 80
Katibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kwa mazungumzo mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba [HASHTAG]#MwananchiLeo[/HASHTAG]My take;
Huu ndio ukubwa,CUF itajengwa na wana CUF...wakati nyie mnalumbana wenzenu wanazunguka huku nakule kuwaambia wananchi kuwa ukawa ni wao,ninyi hampo tena.
Acheni kupotosha, Maalim Seif amesema yupo tayari kufanya Mdahalo na Bwana Yule lakini huwa anamkwepa sana
 
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,126
Likes
5,232
Points
280
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,126 5,232 280
Kama ni Kweli Basi ni Jambo Jema!
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,205
Likes
9,493
Points
280
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,205 9,493 280
Aufute kwa sababu zipi?? Kuwe NYUMBU ni tatizo kubwa sana

Mkuu nashukuru kwa kithibitisho...hawa vijana wamekithiri kubadili sentensi na vichwa vya habari...kuna uzi umeanzishwa eti 'Lipumba asalimu amri'' ili kupotosha.
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,205
Likes
9,493
Points
280
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,205 9,493 280
Acheni kupotosha, Maalim Seif amesema yupo tayari kufanya Mdahalo na Bwana Yule lakini huwa anamkwepa sana
Tatizo lenu vijana wa chadema ni uongo wa asili...yaani gazeti limemnukuu Seif wewe unabadili sentensi kuleta maana yako?...hivi hadi lini mtaendelea kuwa wajinga? mkidanganywa na manabii wa uongo enyi wa imani haba?


LikeShow more reactions
CommentShare
 

Forum statistics

Threads 1,274,340
Members 490,676
Posts 30,508,930