MALAMSSHA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 448
- 156
Jana kwenye vichwa vya habari vya magazeti tumeona wengi wakizungumzia kamati ya maridhiano Zanzibar.
Kwenye hiyo kamati CUF wanawakilishwa na SEIF peke yake.CCM ina watu 5 kama kumbukumbu zangu ni sahihi.
Nimekuwa na maswali mengi sana kuhusiana na hili.
a) Kwanini huyu bwana anafikiri anaweza kupambana na hao kijani peke yake?
b) Je, Chama kimeona hivyo ama ni maamuzi yake?
c) Ni huyu huyu CUF walimtegemea uchaguzi ule wa 2010 na akiishia kupewa cheo cha umakamu wa rais?
d) Yeye na CUF hawaoni umuhimu wa yeye kwenda na wasaidizi wa kwenye hoja.Mfano mdogo kuna masuala yanayohusu sheria yatajitokeza hatahitaji ushauri?
e) Kuna kitu kinaitwa deadlock kwenye mikutano je hii ikitokea na pande zote zikakubaliana wapewe dk Chache za kujadiliana kwanza yeye atajidiliana na nani?
Ninahisi tunabuy time hapa na majibu yanajulikana tayari.
Je, wewe unamuamini huyu bwana?Anaficha nini kufanya vikao yeye mwenyewe?

Last edited by a moderator: