prof na slaa ni mawakala wa ccm kwa muda mrefu sana. mbaya zaidi, walitaka wao ndo wawe wagombea wkt uwezo hawana.
prof hataki slaa awe na slaa hataki prof awe, kila mtu anajiona ni mwamba kumzidi mwenzake. dawa ni kusajili nje yao wote, ndio maana akawa Lowasa.
wapumzike, kazi waliyoifanya tutaikumbuka daima
Kama ulijua makamanda hawa ni wakala wa ccm kwa muda mrefu mbona hujawahi kusema wakati wapo madarakani. Unakuja kusema leo! ! Huu ni ujinga mtakatifu. Utakuwa na wewe ni wakala pia lazimaprof na slaa ni mawakala wa ccm kwa muda mrefu sana. mbaya zaidi, walitaka wao ndo wawe wagombea wkt uwezo hawana.
prof hataki slaa awe na slaa hataki prof awe, kila mtu anajiona ni mwamba kumzidi mwenzake. dawa ni kusajili nje yao wote, ndio maana akawa Lowasa.
wapumzike, kazi waliyoifanya tutaikumbuka daima
Juzi wakati wa mkutano wa UKAWA alisimama na kusema kuwa hawana tatizo na mwenyekiti wa CUF bara na kusema wako pamoja katika suala la UKAWA kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu ila leo PROFESA LIPUMBA kaweka msimamo wake wazi na kusema haungi mkono suala hilo zaidi anachotambua yeye ni ule umoja wa katiba ya wananchi sio huu uliomteua fisadi Lowassa.
Hivi CHADEMA na CUF mnatuchezea watanzania eeee alianza Dkt Slaa amefuata Prof Lipumba tutawatoa kapa agosti kwa huu mchezo mchafu
Maalim anakupiga uwongo halafu anamalizia kwa kusema "sawa sawa"
prof na slaa ni mawakala wa ccm kwa muda mrefu sana. mbaya zaidi, walitaka wao ndo wawe wagombea wkt uwezo hawana.
prof hataki slaa awe na slaa hataki prof awe, kila mtu anajiona ni mwamba kumzidi mwenzake. dawa ni kusajili nje yao wote, ndio maana akawa Lowasa.
wapumzike, kazi waliyoifanya tutaikumbuka daima
huyo li-pumba c alikuwepo cku lowasa anatambulishwa na aliongea wamekubaliana yote? namshangaa sn huyo prof.
Lowassa ndiye mgombea.Jiandae kisaikolojia.Mwaka huu CCM Bye Bye!
Ndiyo tatizo la mtu form four failure kutaka kuwaburuza ma mr. Na ma professor matokeobyake ndiyo haya.
Tutampiga makofi kwa kweli. Labda awe na walinziWewe tulia utashangaa october subiri lowassa aanze kuzunguka utashangaa unampigia makofi na kuanza kumsifia
Ndiyo tatizo la mtu form four failure kutaka kuwaburuza ma mr. Na ma professor matokeobyake ndiyo haya.