GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,449
- 127,624
Juzi wakati wa mkutano wa UKAWA alisimama na kusema kuwa hawana tatizo na mwenyekiti wa CUF bara na kusema wako pamoja katika suala la UKAWA kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu ila leo PROFESA LIPUMBA kaweka msimamo wake wazi na kusema haungi mkono suala hilo zaidi anachotambua yeye ni ule umoja wa katiba ya wananchi sio huu uliomteua fisadi Lowassa.
Hivi CHADEMA na CUF mnatuchezea watanzania eeee alianza Dkt Slaa amefuata Prof Lipumba tutawatoa kapa agosti kwa huu mchezo mchafu
Sasa UONGO wa Maalim Seif ni nini kama Mwenyekiti wake hakumwambia kitu wako poa then baada ya cku mbili akajiuzulu. Seif afanye nn. Rushwa ni mbaya unajua pesa alizopewa Lipumba ni ndefu. C pesa Ndogo mpaka linakuwa saliti wenzakeJuzi wakati wa mkutano wa UKAWA alisimama na kusema kuwa hawana tatizo na mwenyekiti wa CUF bara na kusema wako pamoja katika suala la UKAWA kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu ila leo PROFESA LIPUMBA kaweka msimamo wake wazi na kusema haungi mkono suala hilo zaidi anachotambua yeye ni ule umoja wa katiba ya wananchi sio huu uliomteua fisadi Lowassa.
Hivi CHADEMA na CUF mnatuchezea watanzania eeee alianza Dkt Slaa amefuata Prof Lipumba tutawatoa kapa agosti kwa huu mchezo mchafu
prof na slaa ni mawakala wa ccm kwa muda mrefu sana. mbaya zaidi, walitaka wao ndo wawe wagombea wkt uwezo hawana.
prof hataki slaa awe na slaa hataki prof awe, kila mtu anajiona ni mwamba kumzidi mwenzake. dawa ni kusajili nje yao wote, ndio maana akawa Lowasa.
wapumzike, kazi waliyoifanya tutaikumbuka daima

Sasa UONGO wa Maalim Seif ni nini kama Mwenyekiti wake hakumwambia kitu wako poa then baada ya cku mbili akajiuzulu. Seif afanye nn. Rushwa ni mbaya unajua pesa alizopewa Lipumba ni ndefu. C pesa Ndogo mpaka linakuwa saliti wenzake
tumeoneshwa rangi zao halisi mapema sana.
Sana aiseee yaani mm nimewatoa nje ya mstariiii..CCM oyeee
Rais bora atatoka CCM. Hukusikia?
Juzi wakati wa mkutano wa UKAWA alisimama na kusema kuwa hawana tatizo na mwenyekiti wa CUF bara na kusema wako pamoja katika suala la UKAWA kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu ila leo PROFESA LIPUMBA kaweka msimamo wake wazi na kusema haungi mkono suala hilo zaidi anachotambua yeye ni ule umoja wa katiba ya wananchi sio huu uliomteua fisadi Lowassa.
Hivi CHADEMA na CUF mnatuchezea watanzania eeee alianza Dkt Slaa amefuata Prof Lipumba tutawatoa kapa agosti kwa huu mchezo mchafu
Wanajifanya Wamesahau Tu Ila UKAWA Nzima Wanalijua Hilo.
Seif kavuta mlungula akanyamazishwa
Huu ni mtazamo wako mkuu! Kawaida sana!Ukishabikia Tu CCM Lazima Utakuwa Na AKILI SAHIHI, TIMILIFU, NZURI Na UNAJIELEWA. Sijaipenda au Siipendi CCM Bure Hakika Ni Chama KINACHOHITAJIKA Na Watanzania Kwa USTAWI Wa MAENDELEO Yao. Anayeichukia CCM Itabidi AKACHUNGUZWE UBONGO Wake Kwa UMAKINI MKUBWA. Kwangu Mimi CCM Ni Bab
a Na Mama Yangu.