Maalim Seif mwongo sana

Wasomi wote hufikiria nje ya boksi. Ukiangalia ile picha ya kmupokea huyu FISADI, Prof. Baregu alikuwa ameangalia chini, Dr. Slaa alikuwa anaangalia kwa kushangaa kilichokuwa kinatokea. Leo Prof. Lipumba ameamua kubwaga manyanga! Yaani hawa wasomi wakubwa TZ tuwatilie mashaka au hao vilaza wa CDM waliokimbia shule? Huwezi kunishawishi katika hili. Kuna kitu cha ajabu kinaendelea CDM na wala siyo uzalendo wala Mama Tanzania.
 
prof na slaa ni mawakala wa ccm kwa muda mrefu sana
bakisha na maneno ya kesho, wenzako wako tuko kwenye funga kumuombea mzee wetu dr slaa afanye maamuzi sahihi wewe unaleta kejeli
 
Heri hata lowasa amekuja na nguvu na wafuasi wengi,imagine mgombea awe Slaa u lipumba yaani moja akisimamishwa mengine anajitoa,UKAWA ingekufa,sasa hivi hata wakiondoka lowasa kaziba kila pengo

Kwa hiyo unataka kuniambia Fisadi Lowassa ameileta CCM yake UKAWA. Au una maana gani?
 
Lipumba alikuwa anautaka urais jamani...

Sasa kapokonywa tonge mdomoni hivyo kapigwa na bumbuwazi...
 
Uzuri siku hizi teknolojia imekua sana na utunzaji wa kumbukumbu za kimaandiashi,sauti na picha umekua mkubwa tu,sasa angalia hizo picha utagundua nani mnafiki kati ya Seif na Ibrahim.

Vikao vya kumpitisha LOWASA kuwa mgombea urais ndivyo vimemchefua Profesa...kingine mwenzio katubu na kujutia maamuzi yake...kama ilivyo kwa DKT.SLAA
 
Kaa sikiliza speech ya lipumba utagundua alikuwa anaburuzwa...mwenzenu kachoka na amesema nafsi inamsutaaa....alifanya kosa na kaona anamkosea mungu wake na watanzania ndio maana katubu
Angalia Picha hapo juu, utajua Mnafiki nani? Tumia akili, kwani kuwawanachama wa ccm, hata akili nayo inaondoka? eheee kazi kweli kweli
 
Hawa akina sefu na mbowe wamekula pesa nyingi sana toka kwa lowasa wahuni sana hawa jamaa.
 
Vikao vya kumpitisha LOWASA kuwa mgombea urais ndivyo vimemchefua Profesa...kingine mwenzio katubu na kujutia maamuzi yake...kama ilivyo kwa DKT.SLAA

hana impact kwenye UKAWA let him rest in peace!!
 

Attachments

  • 1438878852027.jpg
    153.4 KB · Views: 193
Vikao vya kumpitisha LOWASA kuwa mgombea urais ndivyo vimemchefua Profesa...kingine mwenzio katubu na kujutia maamuzi yake...kama ilivyo kwa DKT.SLAA
Sahihi kabisa Lipumba ameona kabisa kilichofanyika kumpokea yule fisadi ni sawa na zina hivyo kajinasua kwenye balaa hili.
 

Matusi hayasaidii zaidi ya kujishushia heshima yakooo......kwa inawezekana huwezi read fellings za mtu akiwa anazingumza alikuwa anadanganya wazwaz...we endelea kutukana
 
Nimemsikia Lipumba akisema alishiriki vikao vyote vya kumkaribisha Lowasa na kumjadili mpaka walipokubaliana sasa tatizo lipo wapi zaidi amepasha kadi yake inamalizika mwaka 2020 ,pia ametumia demokrasia na zaidi Seif kwa muda aliotamka alikuwa hajui yaliyo moyoni mwa Lipumba.Hata Seif akijiuzulu bado CUF itabaki palepale ,unapoondoka pale ulipopawacha wenzako wanapakodolea macho.
 

Mkuu ndo leo unagundua uongo wa wanasiasa! Hakuna mwanasiasa mkweli. Ukiwa mkweli wewe ni mwana sayansi siyo mwana siasa.
 
Matusi hayasaidii zaidi ya kujishushia heshima yakooo......kwa inawezekana huwezi read fellings za mtu akiwa anazingumza alikuwa anadanganya wazwaz...we endelea kutukana

alivyotukwana makamo wa Kwanza wa Rais kwamba ni muongo ata hukusema chochote.
 
MaCCM bhana. Mtaja.mba sana mwaka huu.
 
Huyu lipumba hata simuelewi. Vikao vyote alikuwepo tena mpaka wakakumbatiana na kucheka pamoja na el ambaye ndiye mmoja wa aliyepitisha katiba pendekezwa. Ina mana hakujua hayo? Nina wasiwasi lipumba kapewa mlungula mana hoja yake haina mashiko ukifuatilia movie yake yote.
 
Maalim anakupiga uwongo halafu anamalizia kwa kusema "sawa sawa"
 
Kwa sasa UKAWA ndio uongozi mbaya zaidi na unatafunwa na rushwa na hii ni ishara tosha toka Kwa mungu mapema kabisa tumefunuliwa kuwa hawa jamaa hawana msimamo kabisa

tumeoneshwa rangi zao halisi mapema sana.
 
Leo ndo mnaona kama wasaliti! siku zote mliwaona mashujaa. Binadamu wabaya jamani! Myuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…