Maalim Seif mwongo sana

Heri hata lowasa amekuja na nguvu na wafuasi wengi,imagine mgombea awe Slaa àu lipumba yaani moja akisimamishwa mengine anajitoa,UKAWA ingekufa,sasa hivi hata wakiondoka lowasa kaziba kila pengo
 
Heri hata lowasa amekuja na nguvu na wafuasi wengi,imagine mgombea awe Slaa àu lipumba yaani moja akisimamishwa mengine anajitoa,UKAWA ingekufa,sasa hivi hata wakiondoka lowasa kaziba kila pengo
Umeongea point. Wapinzani si wa kuwaamini
 
Waliozaliwa nje ya ccm bado hawajafikisha umri wa kugombea urais, tuliowengi tumezaliwa ndani ya ccm na chama kinapoanzishwa ni lazima kitaiba wanachama flan hasa kutoka chama tawala,
 
Nasikia Mkuu wa Magamba akisikia jina Lowasa-Ukawa anadhirai.
 

Mkuu umeongea point
 
Waliozaliwa nje ya ccm bado hawajafikisha umri wa kugombea urais, tuliowengi tumezaliwa ndani ya ccm na chama kinapoanzishwa ni lazima kitaiba wanachama flan hasa kutoka chama tawala,

Umepotoka acha kudanganya wenzako
 
mkuu kati ya maalimu selfu na Lipunga, aliyeshiriki Vikao vyote vya Kumkaribisha Lowasa na Kumsafisha ni nani? Tumia Akiri, CCM wameshaMpa Mzee Lpumba chake
 
Tutakaofanya mabadiliko ni sisi tunaoteswa na uongozi mbovu wa CCM sio viongozi ambao wana maisha mazuri tofauti na wafuasi wao.

Kwa sasa UKAWA ndio uongozi mbaya zaidi na unatafunwa na rushwa na hii ni ishara tosha toka Kwa mungu mapema kabisa tumefunuliwa kuwa hawa jamaa hawana msimamo kabisa
 

Watanzania wenzangu NASHAURI TUfanyeni kazi sana kujiongezea kipatao tupunguzei mshawasha wa siasa, hayupo mwanasiasa atakekuletea mchele nyumbani au kukusomeshea mtoto wako, Shtukeni, mnapoteza muda mwingi sana! tunafikia hadi kutukanana, mwanasiasa mwenyewe wala hakujui kama uko unapambana kwa ajili yake. kAMA KILA MTU ATAKUWA KWENYE KABURI LAKE MWENYEWE BASI KILA MTU AJIHANGAIKIE MAISHA YAKE MWENYEWE
 

Point👌
 
Lipumba alikuwa anatafuta kick ya kuondokea baada ya kuchokwa kutokana na mara zote alizojaribu kugombea kushindwa vibaya.....kama sio kuondoka wakati huu angeondoka kwa aibu!!!
 
Jamaani msimuhukumu sana Prof. Lipumba. Someni makala ya Lizabon kuhusu jinsi mgombea mwenza wa EL alivopatikana. Kwa hakika inaonekana dhahir Prof hakuhusishwa. Huwezi kuwa na makubaliano yanaoyohusisha mpunga kiasi kile halafu ukakaa kimya tu. This is the impact of EL being involved in this.
 

Naona lumumba mnajitekenya na kucheka wenyewe
 

Aisee!!
 

Attachments

  • 1438878324478.jpg
    14 KB · Views: 207
Uzuri siku hizi teknolojia imekua sana na utunzaji wa kumbukumbu za kimaandiashi,sauti na picha umekua mkubwa tu,sasa angalia hizo picha utagundua nani mnafiki kati ya Seif na Ibrahim.
 

Attachments

  • 1438878179905.jpg
    49.1 KB · Views: 222
  • 1438878208628.jpg
    42.8 KB · Views: 196
mkuu kati ya maalimu selfu na Lipunga, aliyeshiriki Vikao vyote vya Kumkaribisha Lowasa na Kumsafisha ni nani? Tumia Akiri, CCM wameshaMpa Mzee Lpumba chake

Kaa sikiliza speech ya lipumba utagundua alikuwa anaburuzwa...mwenzenu kachoka na amesema nafsi inamsutaaa....alifanya kosa na kaona anamkosea mungu wake na watanzania ndio maana katubu
 

Yaani ww ni mpuuzi kweli., Maalim alipanda juzi kwenye jukwaa na kusema alichokuwa anakifahamu mpaka dakika ya mwisho alipokuwa na Prof. Lipumba, habari rasmi ya Prof Lipumba kujiuzulu ni leo baada ya yeye mwenyewe kwenda kwenye media na kutangaza.

Sasa kuna uhusiano gani baina ya juzi Maalim Seif alivyosema anachokijuwa kwa mara ya mwisho kwa Lipumba na kilichotokea leo ambacho hakuna binaadamu yeyote mwenye upeyo wa kujuwa kitakachotokea keshokutwa???

mwongo ni babako ambaye amekudanganya kukuzaa na mamako kumbe mamayak ni mwengine.
 

Rais bora atatoka CCM. Hukusikia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…