commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
Maisha mrefu JPM, viva Africa 📖✋
Huyu ndiye anastahili Uprofesori wa heshima, siyo wale wengine wanapewa ati kwakuwa wamewaneemesha wageni, binafsi naona Dr. Wine apewe heshima yake haraka mapemaaaa!!!
1. JPM ni Rais wa kwanza Tanzania kukusanya mapato mengi kwa muda mfupi
2. Ni Rais wa kwanza kusambaratisha mtandao wa wizi bandarini na kusambaratisha kundi la wanaojiita Mungu watu
3. Ni Rais wa kwanza kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma bora Muhimbili
4. Rais wa kwanza kurudisha heshima ya watu waishio mjini hapa lazima tueshimiane kila mtu anakula kilicho sahihi
5. Ni Rais wa kwanza kuliongoza Taifa akiwa peke yake na wasaidizi 3 tu na nchi nzima ikatikisika je, akitangaza baraza la mawaziri hali itakuwaje!!!
Ana kazi kubwa sana kuteua baraza la mawaziri. Maana hao wabunge wa ccm ni MIZIGO mitupu. Mungu azid kumpa hekima, nguvu na afya tele.
ni rais wa kwanza kupingwa na Wana CCM waliomchagua wenyewe wakiwemo marais wa zamani
Tuiweke kwa namna hii. Rais wa kwanza kupingwa na chama chake kilichompigia kampeni na kukubaliwa na chama cha upinzani kilichosimama kumpinga kwenye upigaji kura.
Selema selema ... alija ..!
Shida ni kuwa Wakuu wa mikoa na Wilaya(japo coni umaana wao kuwepo) wanashindwa kujua kuwa Magufuli alionesha mfano Muhimbili ili maRC wafanye hospitali za mikoa na maDC wafanye kwenye za wilaya. Tukimsubiri Magufuli aende mikoani hadi wilayani basi basi hao viongozi huko wajiondoe wenyewe.Mkuu uko sahihi kabisa ila, kumbukua huo ni mwanzo tu kwani wagojwa tanzania hii hawako mhimbili tu.,, hospitali nyingi za wilaya wagonjwa wanalala chini na kukosa dawa. Hivyo tumuombee hii kazi iliyoinza iwe ni kama gia namba moja, hivyo aongeze gia zaidi ili tufike pale watanzania wanapopataka.