Maajabu yatokea Tanzania

Maajabu yatokea Tanzania

Ni kweli aina aja ya kuwa na mawazir mizigo coz hta bajeti uwa wanatengenezewa na mawazir
 
1. JPM ni Rais wa kwanza Tanzania kukusanya mapato mengi kwa muda mfupi
2. Ni Rais wa kwanza kusambaratisha mtandao wa wizi bandarini na kusambaratisha kundi la wanaojiita Mungu watu
3. Ni Rais wa kwanza kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma bora Muhimbili
4. Rais wa kwanza kurudisha heshima ya watu waishio mjini hapa lazima tueshimiane kila mtu anakula kilicho sahihi
5. Ni Rais wa kwanza kuliongoza Taifa akiwa peke yake na wasaidizi 3 tu na nchi nzima ikatikisika je, akitangaza baraza la mawaziri hali itakuwaje!!!

Na ni rais wa kwanza Africa wananchi wake wanaofuatilia hatua kwa hatua nukta kwa nukta serikali yake toka aingie madarakani haijawahi tokea.
 
Mkuu uko sahihi kabisa ila, kumbukua huo ni mwanzo tu kwani wagojwa tanzania hii hawako mhimbili tu.,, hospitali nyingi za wilaya wagonjwa wanalala chini na kukosa dawa. Hivyo tumuombee hii kazi iliyoinza iwe ni kama gia namba moja, hivyo aongeze gia zaidi ili tufike pale watanzania wanapopataka.
Ila ujue muhimbili is a national hospital final referral country wide
 
Mm naona atoke ccm awe rais huru bila ya chama atafanya vizuri zaidi kweli nimeamini jina la john wana akili sana
 
Kweli mkuu na hili linazihilisha kwamba watu kutoka kanda ya ziwa ni hatari sana cjui ni kwasababu ya kula sato na dagaa wasio Wa chumvi like nyerere
 
Tuiweke kwa namna hii. Rais wa kwanza kupingwa na chama chake kilichompigia kampeni na kukubaliwa na chama cha upinzani kilichosimama kumpinga kwenye upigaji kura.

Selema selema ... alija ..!

umenena......
 
Ni rais wa kwanza kutekeleza katiba ya warioba ndani ya siku moja eg. kupunguz mawaziri
 
Aina = haina
Aja = haja
Uwa = huwa

Siku hizi kiswahili kibovu namna hii kimeanza kukubalika! Nashangaa hata watu wakubwa na wanaoheshimika wanaongea na kuandika namna hiyo!! Na hicho ni kiswahili cha shule ya msingi kabisa laknini watu kimewashinda!!! Ujumbe wa simu kutoka kwa watu wengi...wanaita njumbe au jumbe!! Tena kwenye vyombo vya habari!!!
 
Kwani mawaziri kitu gain? Hata kikwe alikuwa anaponzwa na mawaziri wake
 
kikwete katuzalilisha sana cc waislam na watu wa pwani.tunaonekana wote hamna kitu kabsa kichwani
 
Back
Top Bottom