January makamba waziri wa fedha.
Hizi ni habari nyeti kutoka magogoni
Hilo ni kosa. Kwa ile michoro michoro yake .. ame prove utoto. Ampige Benchi. Kwa huruma sana unsibu waziri ..Michezo na Uchoraji. That is what he deserves period.
January makamba waziri wa fedha.
Hizi ni habari nyeti kutoka magogoni
Kile kichwa cha January hakijui uchumi ni hasara kwa taifa mtu kama January kupewa wizara ya fedha.January makamba waziri wa fedha.
Hizi ni habari nyeti kutoka magogoni
Kayafanya haya ndani ya siku 23 a.k.a wiki 3 na siku 2 je akimaliza siku 100 itakuwaje?????1. JPM ni Rais wa kwanza Tanzania kukusanya mapato mengi kwa muda mfupi
2. Ni Rais wa kwanza kusambaratisha mtandao wa wizi bandarini na kusambaratisha kundi la wanaojiita Mungu watu
3. Ni Rais wa kwanza kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma bora Muhimbili
4. Rais wa kwanza kurudisha heshima ya watu waishio mjini hapa lazima tueshimiane kila mtu anakula kilicho sahihi
5. Ni Rais wa kwanza kuliongoza Taifa akiwa peke yake na wasaidizi 3 tu na nchi nzima ikatikisika je, akitangaza baraza la mawaziri hali itakuwaje!!!
Wape salamu zangu hapo Bumbuli!January makamba waziri wa fedha.
Hizi ni habari nyeti kutoka magogoni
Bado polisi wala rushwa
hakika mtu huyu ni mtu wa Mungu saa na wakati wa ukombozi kwa watanzania ufika sasa tufanye kazi kwa pamoja na kumpa ushirikiano mwisho wa siku nchi itakuwa safiii