Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,751
- 34,054
Si uume tu, naona kuna replication ya makalio pia...
Haya sio maajabu ya muumba. Mungu alimuumba mwanadamu in perfection, kwa mfano wake. Huu ni uharibifu wa gene pool
Haya sio maajabu ya muumba. Mungu alimuumba mwanadamu in perfection, kwa mfano wake. Huu ni uharibifu wa gene pool
ni kweli bidada... Madawa ya uzazi wa mpango + chanjo ndio maana watotto wanaozaliwa karne hii hawaishi maajabu!
Inastahajabisha sana!
Na naniliu ziko mbili!
MImi mKUu NDio Ujue nashangaa!Ni kawaida..