Maajabu yake Muumba mtoto azaliwa na Dushelele mbili!!!!!1

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
10435910_423683794445525_2841965691164302359_n.jpg
 
Haya sio maajabu ya muumba. Mungu alimuumba mwanadamu in perfection, kwa mfano wake. Huu ni uharibifu wa gene pool

Ni kweli bidada... Madawa ya uzazi wa mpango + chanjo ndio maana watotto wanaozaliwa karne hii hawaishi maajabu!
 
Haya sio maajabu ya muumba. Mungu alimuumba mwanadamu in perfection, kwa mfano wake. Huu ni uharibifu wa gene pool

Hayo ni mawazo yako na sio ukweli hata siku moja.
Mungu aumbe kwa mfano wake. Una maana Mungu yuko ka wewe?
 
Sasa huyu ndo wa kuoa zsidi ya mmoja. Na hapo ndo ujue kuwa wanawake ni wengi zaidi ya wanaume.
 
Back
Top Bottom