Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,027
- 74,713
Nilimsikiliza sana Werema akijibu mwongozo wa Kafulila. Kwanza kama kawaida alianza na kumshukuru MUNGU halafu akaanza kujibu majibu yake na akamalizia na kumwita Kafulila Tumbili kabla hahitimisha huko nje kwa kumwambia atamkata kichwa.
Hivi huyo MUNGU aliyemshukuru ni yupi? Huyuhuyu tunayejinyenyekeza kwake? Au wenzetu wana MUNGU wao mwingine ambaye kwake kuna binadamu aliowaumba kama Tumbili?
Naona sasa ufike wakati waache kutuvunga na dua zao au kushukuru MUNGU wao waendelee kutukana na kusema uongo kama walivyozoea kuliko kumkejeli MUNGU na kuliletea laana taifa letu.
Sent from my iPad using JamiiForums