Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

hivi atapima vipi kama una kiba100, na ataanzaje Kumwambia kama una hiyo kitu.........

hivi umenielewa


Kibereko
Kwahiyo utamfanyia vyote hivyo Demu alafu usimbandue?
Kama jibu ni hapana basi hiyo siku ya kumbandua uhakikishe unambandua kisawa sawa ,mwisho wa siku lazima atakuonea huruma katika hiyo list utaweza kuyafanya yale yenye ulazima tu, ila sasa kama una Kibamia utayafanya yoote hayo na mengine atakuongezea end the time utakuja kulia.
 
Hivi mwanaume anahitaji mwanamke wake awe vipi??
Hata usijisumbue kuhusu hilo.

Wao wana mawili. Wakiwa horny, mwanamke tyuuuu zikishatulia ndo utawakuta eti wanataja vigezo vya wife material.
 
Kwahiyo utamfanyia vyote hivyo Demu alafu usimbandue?
Kama jibu ni hapana basi hiyo siku ya kumbandua uhakikishe unambandua kisawa sawa ,mwisho wa siku lazima atakuonea huruma katika hiyo list utaweza kuyafanya yale yenye ulazima tu, ila sasa kama una Kibamia utayafanya yoote hayo na mengine atakuongezea end the time utakuja kulia.
Umenena bidada
 
Cha msingi usijisumbue kuwajua.....huwa wanajitune kulingana na gia zako....
 
Umesahau kuwabeba mgongoni! na unene woote ule! mmmm!

Kuwaswafi swafi!!!!
 
MWANAUME ANAHITAJI:

1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-

1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:-

53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:-

58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:-

62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-

65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu.
Hii ni baadhi tu

WANAWAKE MNA NINII LAKINI
hii sasa ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana wale wazee wakaimba wanaume tumeumbwa mateso.
 
MWANAUME ANAITAJI KWA MWANAMKE
1. Kupikiwa
2. unyumba
3. kupumzika
4. uvumilivu.

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME UWE

1. Mpenzi
2. rafiki
3. mshikaji
4. baba
5. kaka
6. mwalimu
7. boss
8. mpiganaji
9. askari
10. mlinzi
11. mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Sheikh
15. Mchungaji
16.mzee wa msikiti
17. Mzee wa kanisa
18. Daktari
19. Mpambaji
20. Mwana mitindo
21. Modo
22. Mnyanyua vyuma
23. Fundi magari
25. Mwanasheria
26. Mhasibu
27. Fundi selemala
28. Mcheshi
29. Mwanamziki
30. Muigizaji
31.shamba boy
32. Fundi ujenzi
33. Msafi
34. Unajali
35. Mzazi
36. Mlezi
37. Mvumilivu
38. Mjanja
39. Mpole
40. Mkarimu
41. Msikivu
42. Mtunza siri
43. Mkweli
44. Kiongozi
45. Tajiri
46. Mpangaji
47. Mwana michezo
48. Mtundu
49. Tegemeo
50. Jasiri
51. Mthubutu
52. Shupavu
53. Mwerevu
54. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA
55. Uwe fundi kitandani
56. Uwe unamtoa outing
57. Uwe unampa pesa za kutosha...
58. Usi msumbue sumbue
59. Usiangalie wanawake wengine

HALAFU KUNA

60. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale
61. Kumsifia alivyoumbwa
62. Kumsifia alivyopendeza..
63. Kumfungulia mlango
64. Kumshikia kipochi

PIA USISAHAU..

65. Siku yake ya kuzaliwa
66. Kumbukumbu ya ndoa
67. Siku ya Valentine

MUHIMU SANA KUWA MAKINI...

68. Jifunze kutoulizia chenji ...ukimpa pesa ya shopping
69. Usipende kubishana nae kila kitu
70. Usisaha kumtumia na yakutolea....

WANAUME TUNA KAZI NA KWANINI TUSIFE MAPEMA....
 
Kwa wakati huu wakileta ujuaji wanakaa pembeni alafu wanazidi kuwa single mother wengi. Hizi mambo ni wanazidai kwa nguvu sana na inawagharimu pamoja na kuwa ni haki yetu kuwajibika.
 
Back
Top Bottom