MWANAUME ANAITAJI KWA MWANAMKE
1. Kupikiwa
2. unyumba
3. kupumzika
4. uvumilivu.
MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME UWE...
1. Mpenzi
2. rafiki
3. mshikaji
4. baba
5. kaka
6. mwalimu
7. boss
8. mpiganaji
9. askari
10. mlinzi
11. mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Sheikh
15. Mchungaji
16.mzee wa msikiti
17. Mzee wa kanisa
18. Daktari
19. Mpambaji
20. Mwana mitindo
21. Modo
22. Mnyanyua vyuma
23. Fundi magari
25. Mwanasheria
26. Mhasibu
27. Fundi selemala
28. Mcheshi
29. Mwanamziki
30. Muigizaji
31.shamba boy
32. Fundi ujenzi
33. Msafi
34. Unajali
35. Mzazi
36. Mlezi
37. Mvumilivu
38. Mjanja
39. Mpole
40. Mkarimu
41. Msikivu
42. Mtunza siri
43. Mkweli
44. Kiongozi
45. Tajiri
46. Mpangaji
47. Mwana michezo
48. Mtundu
49. Tegemeo
50. Jasiri
51. Mthubutu
52. Shupavu
53. Mwerevu
54. Muungwana
HAPO HAPO UNATAKIWA
55. Uwe fundi kitandani
56. Uwe unamtoa outing
57. Uwe unampa pesa za kutosha...
58. Usi msumbue sumbue
59. Usiangalie wanawake wengine
HALAFU KUNA
60. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale
61. Kumsifia alivyoumbwa
62. Kumsifia alivyopendeza..
63. Kumfungulia mlango
64. Kumshikia kipochi
PIA USISAHAU..
65. Siku yake ya kuzaliwa
66. Kumbukumbu ya ndoa
67. Siku ya Valentine
MUHIMU SANA KUWA MAKINI...
68. Jifunze kutoulizia chenji ...ukimpa pesa ya shopping
69. Usipende kubishana nae kila kitu
70. Usisaha kumtumia na yakutolea....
WANAUME TUNA KAZI NA KWANINI TUSIFE MAPEMA....