Maajabu ya uzinzi haya hapa

Maajabu ya uzinzi haya hapa

Pamoja na kuwa ni kitendo cha aibu lakini ni njia mojawapo kwa mwanaume kuonyesha urijali
ni kutokana na kitendo.. tendo la kukimbia simba ni la kishujaaa.... ila tendo la kufumaniwa ni la aibu
 
Kwa wale waliosoma somo la Biology mtakumbuka ile topic ya coordination na kile kisa cha mtu kuona simba, ukiona simba mwili unapata nguvu ya ajabu kupambana na Simba, ama utapata nguvu ya kukimbia ama ya kupambana naye, hii ni kutokana na mwili wenyewe, wachache sana wanazimia.

Cha kushangaza ni katika tukio la uzinzi, ukifumaniwa nguvu huwa zinaisha kabisa kiasi kwamba unaweza ukapigwa na ama kufanyiwa mambo ya ajabu na ka mtu kadogo tu kasikokuwa na nguvu,

Cha kujiuliza kwa nini mwili hapa huwa haupati nguvu za kupambana maana hatari ya kufumaniwa huwa ni sawa kabisa na ile ya kukutana na Simba.

Kwa mtizamo wangu haya ni masuala ya Mungu kutaka kuwaazibu wazinzi.
unamkimbia simba na nguo zako, utakimbia gesti na k.ende zinaninginia, usije ukawapa watu ugonjwa wa moyo barabarani
 
Mwizi Yeyote Akikamatwa Lazima Awe Mpore Ili Kunusuru Maisha Yake
 
Nguvu ziishe tu na adhabu ziwe zile zile mwanaume kuliwa jicho mwanamke kukalia chupa....
 
Nguvu ziishe tu na adhabu ziwe zile zile mwanaume kuliwa jicho mwanamke kukalia chupa....

jicho ndo nini? sikutegemea kama na wewe Evelyn SALT unaweza ukawa na maneno kama haya, haufananii kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka kulikuwa na vitu vinaitwa unconsciousness condition( kama sijakosea au kusahau) mfano unaoendana na huu ni ule unakuta na simba au nyoka akikufukuzia ghafla unajikuta upo juu ya mti wa miiba baaada ya kuondoka huyo simba ndiyo unaanza kusikia maumivu...ni.kawaida kwani akili yote inahamia kwenye tahadhari.....

sasa kwenye kufumaniwa lazima tuelewe vitu hivi;;

lile tendo lilishapangwa kwamba mtakuwa mahali mtafanya yenu...kwa hiyi akili inajua tayari...

kwa hiyo ukishafumaniwa nafsi tayari inalusuta hivyo coordination ya kupata nguvu ya kujiokoa ama kujihami inatoweka kabisa.
 
Back
Top Bottom