Maajabu ya uzinzi haya hapa

Maajabu ya uzinzi haya hapa

Lakini mungu anamakusudi yake unadhani kama mtu anaetembea na mke wa mtu kama bada ya kufumaniwa angelipata nguvu kama amekutana na simba unadhani huyu aliedhulumiwa mkewe angelipata haki yake

Mh leave GOD out of this.
 
Nikiwa Mbeya niliwahi kuwa na demu kumbe demu ana bwana akanigongea usiku nikaona hapa ni mbwai mbwai nikavaa alipoingia nikamchenjia!, kwanini unaingia kwangu usiku na unagonga bila adabu kabla ajauliza kibao cha maana machoni ajakaa sawa nikampush akaanguka kwenye mandoo ya maji nika nakafata kwa mateke mengi mbona aliomba po!hapo niwewe kujipanga ukijitia woga uakuja kweli.
 
Nikweli,lakini pia nikutokan na maandaliz ulio yafanya yakutofumwa sas inapotokea kufumw akil inapat mshangao,kaazi kwel
 
wewe ulipofumaniwa ulifanywa nini? kiwepesi au kwa mbinde?

Umenikumbusha kitu, Kuna jamaa juz kati kaliwa tigo lakini wafanyakazi wenzake tukapigiwa simu baada ya kuwa amezimia tena porini, tulimpeleka kwake na baada ya siku kama 6 alirud, tukawa tunamuuliza kulitokea nini akawa anatujibu "kwa mbinde kishenzi" hahahaaa
 
Nakumbuka kulikuwa na vitu vinaitwa unconsciousness condition( kama sijakosea au kusahau) mfano unaoendana na huu ni ule unakuta na simba au nyoka akikufukuzia ghafla unajikuta upo juu ya mti wa miiba baaada ya kuondoka huyo simba ndiyo unaanza kusikia maumivu...ni.kawaida kwani akili yote inahamia kwenye tahadhari.....

sasa kwenye kufumaniwa lazima tuelewe vitu hivi;;

lile tendo lilishapangwa kwamba mtakuwa mahali mtafanya yenu...kwa hiyi akili inajua tayari...

kwa hiyo ukishafumaniwa nafsi tayari inalusuta hivyo coordination ya kupata nguvu ya kujiokoa ama kujihami inatoweka kabisa.

siyo kweli.
 
Hakika haya ni maaajabu ya uzinzi
 
ukifumaniwa nguvu zinaisha kwa sababu ya woga na hofu .
 
Back
Top Bottom