Maajabu ya Tanzania

Maajabu ya Tanzania

Watawacha kushindwa? ni mtu asiye na akili timamu tu anaeweza kutengeneza sanamu kwa mikono yake kisha akaliabudu.
Too smart by half!
Kama una akili za kushinda mjapani anaye abudu sanamu ya mikono sita, basi mi nitatembelea pua.
 
Huo ni uongo wa dhahiri shahir. Huo ndio wakati uchumi uko hoi bin taabani, foleni mpaka ya unga.

Kuanzia 1967 baada ya Nyerere kutangaza Azimio la Arusha, Uchumi ukafa kabisa, Nyerere kairithi nchi kwa wakoloni ikiwa ya kwanza katika Afrika kusafirisha mazao ya kilimo nje. Kuanzia hiyo 1967, ndiyo ikawa mwisho wa hayo na ikawa omba omba wa kutupwa.

Nilikuwepo
.

Mkuu with all due respect NAKATAA taarifa yako! Tanzania ilianza kuyumba baada ya vita na mwaka 1980 -1983 hali ilikuwa mbaya sana kiasi cha watanzania kujikuta tunakula unga wa YANGA!!!... Otherwise Mnyonge mnyogeni haki yake mpeni! Mwalimu alijitahidi sana kwenye maendeleo ya Watu, wasiojua kusoma na kuandika walipungua sana, huduma za afya zilikuwepo! Vijiji maji yalitoka mabombani... Wakati wa awamu ya 3 hatukushuhudia maendeleo ya WATU wala ya VITU bali tulishuhudia CAPITAL FLIGHT kwa kasi ya ajabu... Spirit hoyo inaendelezwa hadi leo na wale waliokuwa mawaziri wa Mkapa!!!... Itoshe kusema MKAPA kauza nchi ...
 
Too smart by half!
Kama una akili za kushinda mjapani anaye abudu sanamu ya mikono sita, basi mi nitatembelea pua.

Kwa kuwa mjapani anaabudu sanamu na wewe ndio una akili nyingi sana kutengeneza sanamu la mzungu na kuliabidu?

Hilo sanamu la Kijapani ni Mwaafrika?

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Kwa kuwa mjapani anaabudu sanamu na wewe ndio una akili nyingi sana kutengeneza sanamu la mzungu na kuliabidu?

Hilo sanamu la Kijapani ni Mwaafrika?

Kwi kwi kwi teh teh teh!
Out of context!
Uligeneralize kwa statement yako,
Kama umesahau nakukumbusha

"By FaizaFoxy
Watawacha kushindwa? ni mtu asiye na akili timamu tu anaeweza kutengeneza sanamu kwa mikono yake kisha akaliabudu."

Sasa usiikimbie statement yako.
And it was easy to blow it apart, kwa maana lengo lako la moyoni kila mtu anajua unakoelekea, thats why jamaa kasema you are too smart by half!
Sasa ubishani wako unahamisha magoli ya malengo yako, hukumtaja mwafrika wala wala mjapani katika statement yako, sasa waingiza specifics because you have a prejudiced mind.
 
Asante mkuu kwa kuionyesha kifasaha point yangu.
Tatizo kubwa la udhaifu wa mtu ni kutojitambua kuwa ana kasoro.

Mtu anapoanza kushambulia imani za wengine kwa sababu yoyote ile , huyo ni mdhaifu.
Na naona ndiyo prejudice unayoiongelea hapo juu.

Sasa mtu atakuwaje rational kama yuko prejudiced?
Mada hii ni nzuri, lakini ikiingizwa sentiments za udini ni rahisi kuona jinsi watu wasivyoweza kujiendeleza katika kufikiri.
 
Nigeria ni nchi ya tano ktk soko la mafuta duniani, inauchumi mzuri sana, ndiyo inayoongoza kwa uchumi Africa baada ya kuizidi South Afrika mwaka Jana.
 
Out of context!
Uligeneralize kwa statement yako,
Kama umesahau nakukumbusha

"By FaizaFoxy
Watawacha kushindwa? ni mtu asiye na akili timamu tu anaeweza kutengeneza sanamu kwa mikono yake kisha akaliabudu."

Sasa usiikimbie statement yako.
And it was easy to blow it apart, kwa maana lengo lako la moyoni kila mtu anajua unakoelekea, thats why jamaa kasema you are too smart by half!
Sasa ubishani wako unahamisha magoli ya malengo yako, hukumtaja mwafrika wala wala mjapani katika statement yako, sasa waingiza specifics because you have a prejudiced mind.

Msome tena huyu niliyemjibu, usidandie daladala kwa mbele, utadhurika:

quote_icon.png
By Lole Gwakisa

Too smart by half!
Kama una akili za kushinda mjapani anaye abudu sanamu ya mikono sita, basi mi nitatembelea pua.

Tuliosoma bure tumefaidika maana tulitumia vyema oppurtunity ile adimu.
Kama ulitegemea Nyerere aingie jikoni kwako hadi kukupikia basi una haki ya kulalamika maana upeo wako ulikuwa mdogo.

I do not think you have understood my argument. My argument is that nothing in this world is free, including education. Someone somewhere pays for it. What is important is for the government to nurture the agent who pays for whatever seems to be free.
 
Nisome vizuri, ni nani kaitaja dunia nzima> au kwa upunguani wako "Afrika" ndio dunia nzima?

Amma kweli Watanzania tuna matatizo makubwa sana ya IQ zetu. Aliyesema tupo kwenye uwiano wa 72 namkatalia, mimi nna uhakika tupo kwenye 50.

Ikiwa ufahamu wenyewe ndio kama huo wako.

Nadhani wewe wewe ndiye mwenye matatizo. Sijawahi kukuita punguani kwa nini uniite punguani? Wewe ndiye mwenye IQ ya juu? IQ ni kitu gani?

Tukirudi kwenye mjadala, naomba uniambie Tanzania ilikuwa ya kwanza kusafirisha mazao gani Afrika?
 
Tanzania foreign reserves 1985 = 16,000,000 - aliyoiacha Nyerere, aibu.
Tanzania foreign reserves 1995 = 270,203,522 - Mwinyi
Tanzania foreign reserves 2005 = 2,048,775,565 - Mkapa
Tanzania foreign reserves 2012 = 4,052,224,356 - Kubwa lao, na bado ana miaka 3 ya ku double hiyo figure.

Source: Total reserves (includes gold, current US$) | Data | Table

Kumbuka, siku nyingine uje na vitu valid, usifikiri wote humu JF ni mapunguani wenzako.

Huo ni uongo. Unajuwa unachokiandika lakini? au unahororoja tu.

Asante kwa kuita wau mapunguani. Mimi siyo punguani kama unavyodhani.

Asante kwa takwimu. Hebu tuzichambue kidogo.

Tukichukulia takwimu za nyongeza ya Reserves utaona Mwinyi ndiye aliyefanya vizuri kwani aliweza kukuza reserves kwa asilimia 1689. Mkpapa amefuata kwa kukuza reserves kwa asilimia 758 na Kikwete asilimia 198. Kwa hiyo kuweza kumfikia Mkapa anatakiwa aache reserves zisizopungua USD15.5 billion. Nisingelipenda kupima mafanikio ya hawa marais kwa urahisi hivyo.

Kipimo kinachofuatwa kwenye mambo ya reserves ni hizo reserves zinaweza kutosha kuagiza bidhaa nje kwa miezi mingapi. Mkapa aliacha hizo reserves za USD 2.1 bn zikitosha kuagiza bidhas nje kwa miezi nane. Reserves tulizonazo leo, USD 4.6bn zinatosha kuagiza bidhaa kwa miezi minne nne. Kwa hiyo kumfikia Mkapa wa miezi nane reserves zetu zilitakiwa kuwa USD 9.2Bn.
 
Sema hujui tu, hakuna kuabudu sanamu kwenye Uislam.

Hivi ukaliabudu sanamu, ambalo umelitengeneza mwenyewe kwa mikono yako, una akili kweli?

Ukiabudu jiwe inakuwaje? INakuwa nafuu au ndiyo inavyotakiwa?
 
Msome tena huyu niliyemjibu, usidandie daladala kwa mbele, utadhurika:
quote_icon.png
By Lole Gwakisa

Too smart by half!
Kama una akili za kushinda mjapani anaye abudu sanamu ya mikono sita, basi mi nitatembelea pua.

IQ yako huwaga ni ndogo!
Uligeneralise. tena kwa malengo unayoyajua fika, kuwa wanaochonga sanamu kwa mikono yao, na kuziabudu, hawana akili timamu.
Kwa muendelezo huo huo Lole Gwakisa ambaye nakubaliana naye, kakuonyesha kabila la watu wanaoitwa wajapani, wanaochonga sanamu kwa miaka maelfu sasa, za buddha na wazasisujudia.

Wewe ni aina ya mtu asiye na akili sana arushaye jiwe sokoni, akijua anampiga adui yake lakini kumbe mpiga mamaye.
Na kama hoja yako hutaki idandiwe, iandike kwenye diary yako na uisokomeze uchagoni, hapo itakuwa salama.
 
Last edited by a moderator:
I do not think you have understood my argument. My argument is that nothing in this world is free, including education. Someone somewhere pays for it. What is important is for the government to nurture the agent who pays for whatever seems to be free.
True!
And many take free things for granted, while smarter people take them as an impetus or further enhancement.
 
Asante kwa kuita wau mapunguani. Mimi siyo punguani kama unavyodhani.

Asante kwa takwimu. Hebu tuzichambue kidogo.

Tukichukulia takwimu za nyongeza ya Reserves utaona Mwinyi ndiye aliyefanya vizuri kwani aliweza kukuza reserves kwa asilimia 1689. Mkpapa amefuata kwa kukuza reserves kwa asilimia 758 na Kikwete asilimia 198. Kwa hiyo kuweza kumfikia Mkapa anatakiwa aache reserves zisizopungua USD15.5 billion. Nisingelipenda kupima mafanikio ya hawa marais kwa urahisi hivyo.

Kipimo kinachofuatwa kwenye mambo ya reserves ni hizo reserves zinaweza kutosha kuagiza bidhaa nje kwa miezi mingapi. Mkapa aliacha hizo reserves za USD 2.1 bn zikitosha kuagiza bidhas nje kwa miezi nane. Reserves tulizonazo leo, USD 4.6bn zinatosha kuagiza bidhaa kwa miezi minne nne. Kwa hiyo kumfikia Mkapa wa miezi nane reserves zetu zilitakiwa kuwa USD 9.2Bn.

Kumbuka hiyo ni mwaka 2012 na hapo bado ana miaka ya kuchanja mbuga.

Kumbuka pia, kuwa na "foreign reserve" kubwa wakati nchi iko kizani, kuna faida gani? Mkapa alituacha kizani, Kikwete mpaka sasa kishaongeza uzalishaji umeme zaidi ya 100% kutoka alioukuta kwa Mkapa na project nyingine ziko mbioni kufikia ambazo ni zaidi ya asilimia 500 ya umeme alioucha Mkapa. Kama haitoshi, Mkapa kaacha Watanzania 10% wenye umeme, mpaka sasa Kikwete ameweza kuongeza mpaka kufikia 37%. Piga hesabu.

Kama hayo hayakutoshi, ni faida ipi kuwa na reserve kubwa wakati Watanzania hawana vyuo vya kutosha? hawana shule za kutosha? hawana vyuo vya ufundi vya kutosha? hawana hospitali za kutosha? hawana sekondari za kutosha? hawana barabara za kutosha? hawana zahanati za kutosha, hawana maji ya kutosha, hawana viwanda vya kutosha? hawana uwekezaji wa kutosha? hawana usafiri wa kutosha?

Sasa yatazame yote hayo, Mkapa aliacha nini? na Kikwete anaacha nini? halafu utajuwa kuwa Kikwete ndio kubwa lao katika kila nyanja. Kama huyatazami yote hayo na unatazama"foreign reserve" pekee basi utakuwa na mapungufu ambayo si ya kawaida na sitoweza kusita kukuita punguani.

Sasa nakuuliza tena, hizo billioni 4 ulizosema kawacha Mkapa kama reserve ulitoa wapi hizo takwimu? au ulifikiri wote humu JF ni mapunguani kama wewe?
 
..........Hayo maswali yako hata Rais wa nchi hii huwa ajanyaga hana majibu.
 
Nadhani wewe wewe ndiye mwenye matatizo. Sijawahi kukuita punguani kwa nini uniite punguani? Wewe ndiye mwenye IQ ya juu? IQ ni kitu gani?

Tukirudi kwenye mjadala, naomba uniambie Tanzania ilikuwa ya kwanza kusafirisha mazao gani Afrika?

Kiongozi, kama hujamuita Punguani huyo dada basi ulifanya makosa na ulistahili kumuita hivyo maana akili zake zote humuelekeza kwenye malumbano yasiyo na msingi.
 
Hebu jaribu kutafuta records ya pesa zilizo ibiwa nigeria halafu ndio utapata majibu. Nigeria inatoa mafuta mengi sana lakini wananchi wana njaa kuliko wewe muanzisha mada.
 
IQ yako huwaga ni ndogo!
Uligeneralise. tena kwa malengo unayoyajua fika, kuwa wanaochonga sanamu kwa mikono yao, na kuziabudu, hawana akili timamu.
Kwa muendelezo huo huo Lole Gwakisa ambaye nakubaliana naye, kakuonyesha kabila la watu wanaoitwa wajapani, wanaochonga sanamu kwa miaka maelfu sasa, za buddha na wazasisujudia.

Wewe ni aina ya mtu asiye na akili sana arushaye jiwe sokoni, akijua anampiga adui yake lakini kumbe mpiga mamaye.
Na kama hoja yako hutaki idandiwe, iandike kwenye diary yako na uisokomeze uchagoni, hapo itakuwa salama.

Tena hawana kabisa akili si timamu tu. Utachongaje mwenyewe kinyago halafu ukiabudu? huo kama si wenda'azimu ni nini? au na wewe unaabudu sanamu?
 
Tena hawana kabisa akili si timamu tu. Utachongaje mwenyewe kinyago halafu ukiabudu? huo kama si wenda'azimu ni nini? au na wewe unaabudu sanamu?
Usibadili mada, nondo za uhakika umeshapewa, zaidi ya hapo ujijue ulivyo kero katika jamii.
Kubali na jirekebishe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom