nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Inachekesha sana...
Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikiwa na eneo la ardhi (nchi kavu na maji) lenye kilometer za mraba 945,087.
Nigeria yenyewe ni ya 32.Duniani ikiwa na 923,768km sq....
sasa hapa Utagundua kitu,
Nigeria inawezaje kuwa na watu zaidi ya Millioni 300. . . Alafu Tanzania kuna watu Millioni 47 tu...
inamaana sisi hatuna mbegu?
Nigeria imewezaje kuwa na Uchumi mzuri vile kuliko Tz...
Isitoshe Siasa zao sio tulivu tokea uhuru , kama ni Rasili mali hata sisi tunazo tena ni nyingi mno!!!
Tumekosea wapi jamani???
Nigeria ina Makabila 60
Tanzania ina Makabila zaidi ya 180
Nigeria ina Lugha 4 za Taifa Kiingereza;Pg English; Hausa; Yoruba
Tanzania ina Lugha 2 za Taifa Kiingereza na Kiswahili
Nigeria kuna MATABAKA kati KIDINI na Wanauana Mpaka leo
Tanzania Tunayo lakini hatuuani
Kuwa na IDADI KUBWA ya Wananchi ni Tatizo kwa Taifa --- Angalia Nigeria wana GAS & OIL lakini wameshindwa kugawana sababu ya utitiri wao
Angalia jinsi itakavyokuwa rahisi kuwatosheleza idadi ya Watanzania
*** kwahiyo sijui Unasomea nini wanaokuambia IDADI KUBWA ya POPULATION ndio MAENDELEO YA NCHI...
c.c Joshua Haji