Maajabu ya Tanzania

Maajabu ya Tanzania

Baadaya Marehemu baba wa Taifa (R.I.P) kuukalia huo uchumi kama uonavyo hii ikimaanisha madini na Rasilimali zingine hazikutumika je hawa walioingia sasa ambao wanazitumia rasilimali hizo na hadi sasa kuna baadhi ya migodi imeishafungwa huku wahusika walikuwa bado wapo katika kipindi cha mpito na walikuwa hawajaanza kulipa kodi mfano mgodi wa LUSU kule Nzega je kuna manufaa yeyote makubwa yaliyopatikana kuliko hasara?

Naona unamatatizo ya uelewa, nimesema kaukalia uchumi, sikusema kaikaliza migodi!

Migodi iliyokuwepo wakati huo ilikuwa inafanya kazi na haijukani, pesa hazionekani na wala hazijukani zilipokwenda. Unafikiri STAMICO ilianza lini?
 
Huu ni uongo..its obvious they are killing us..Tanzania kuna vita sema watu hamjui...ni vita..sisi ni Taifa kubwa jamani..Nigeria wanauana tokea Uhuru hata sasa lakini wapo Zaidi ya Millioni Mia Tatu.Msiignore hii fact..Africa is the same..Magonjwa hata kule yapo.
And you are not dead, yet!
Believe that you will die, and you will die soon.
 
Naona unamatatizo ya uelewa, nimesema kaukalia uchumi, sikusema kaikaliza migodi!

Migodi iliyokuwepo wakati huo ilikuwa inafanya kazi na haijukani, pesa hazionekani na wala hazijukani zilipokwenda. Unafikiri STAMICO ilianza lini?

bibie, sasa hivi hutochelewa kuandika nyerere aliukandamiza uislam Tz, nyerere keshaondoka siku si haba madarakani na duniani walomrithi wamekalia uchumi au wameuharibu uchumi, anzia hapo... hii post yako ina harufu ya udini ndo maana na mimi nimekujibu hivyo hivyo.
 
Mkuu wanezoea kutafuta sababu, wavivu wote wanamsingizia Nyerere, mbona wote wamepitia enzi za Nyerere
 
Tumekosea hapa; ni kwa sababu tuna viongozi swafi, utawala bora, serikali sikivu, viongozi wana maadili, wanajali wananchi, hawependi rushwa, sio mafisadi, mikataba ya madini na gasi ni wazi na wananchi wameshirikishwa!
 
Nasikia eti wakatoliki wanataka kumpa utakatifu.

Alishawahi kuulizwa hilo swala la utakatifu way before hajafa akakataa, akasema yeye hawezi ku qualify kuwa mtakatifu. Kwa hiyo wakimpa watakuwa wamefanya makosa huku wakifahamu.
 
bibie, sasa hivi hutochelewa kuandika nyerere aliukandamiza uislam Tz, nyerere keshaondoka siku si haba madarakani na duniani walomrithi wamekalia uchumi au wameuharibu uchumi, anzia hapo... hii post yako ina harufu ya udini ndo maana na mimi nimekujibu hivyo hivyo.

Waliomfata, wawili wa mwanzo walikuwa ni vikaragosi vya Nyerere akiviendesha kwa "remote". Mambo yamebadilika baada ya ujio wa Jakaya Mrisho Kiwete, mwenyewe unajinea, huna haja ya kuambiwa, au hujui tukupe darsa kidogo?

Bofya: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ake-wengi-wao-wametangulia-mbele-ya-haki.html
 
Nyerere, ndiye aliyekosea, uchumi alikuwa nao lakini aliukalia, alishindwa kabisa kabisa katika mambo ya uchumi kwa miaka yote aliyoongoza hii nchi, zaidi ya 24. Aliiwacha nchi ni maskini wa mwisho duniani.

Alipong'atuka life expectancy ya Mtanzania ilikuwa hata miaka 40 haifiki. Jinsi alivyoshindwa katika huduma za afya.

Mkuu point of correction! Nyerere alijitahidi sana ktk kipindi chake! Kufikia 1975 Tanzania ilikuwa kwa kasi ya ajabu kiuchumi, Viwanda, mashamba na exportation ilikuwa juu... Nyerere alipiganishwa vita na Amin bila ya yeye kujua, baadae nchi washiriki zilianguka kiiuchumu! Tanzania ilipigwa sunction kubwa kuliko ile ya Zimbabwe kwani Nyerere alikataa katakata kukubali Madini, Mafuta na Gesi yetu kuchimbwa kasha sisi kuachiwa mashimo kama kule Niger Delta!!! Shell waliondoka kwenda Sudan ambapo Albashir alivunja mkataba na kuwapa WACHINA... KOSA la NYERERE ni kutuletea Benjamin William Mkapa an Economic Hit Man alieandaliwa mara baada ya JKN kumpeleka USA kuw balozi! BMW alikamatwa na akina Ballali na kuandaliwa vilivyo kuwa EHM! ...Itoshe kusema JKN hakujua kuwa kijana wake alikwisha tekwa muda mrefu kuwa EHM... JKN alikuja kugundua mpango mzima baada ya BWM kuuza NBC! Hapa Mwalimu alikwenda kumuona Clinton na kumueleza masikitiko yake ya kuuzwa kwa Assets za NBC na NMB ambazo zimetapakaa nchi nzima! alimweleza kuwa wanachohitaji ni Credits tu na kama suala ni uwekezaji basi wabinafsishe Operations siyo Fixtures (majengo), mara baada ya kikao hicho (1998) Prof Stieglitz aliekuwa mshauri wa Clinton - uchumi alijiuzulu nafasi yake na kusema kuwa anakubaliana na JKN mwanzo mwisho... Inasemekana JKN aliandaliwa trip ya South Africa then UK ...Sasa tuna muenzi Baba wa Taifa kwa Kukinzana na nadharia zake zote! Hata zile zenye manufaa kwetu!!! Itoshe kusema Watanzania tulikosea sana Kuwa na BENJAMIN WILLIAM MKAPA !!! Huyu ndo chanzo na matatizo yote ya Tanzania ya sasa!!! Amini msiamini JK hapo alipo anatamani muda wake uishe salama kwani anafanyakazi katika mazingira na sera mbovu sana walizotengeneza EHM ambazo haiwezekani kuziondoa overnight ...
 
Well argued..i always look at BMW and wonder why nobody sees how he messed up everything.. and blame Kikwete for all inherited misfortunes
 
Nyerere, ndiye aliyekosea, uchumi alikuwa nao lakini aliukalia, alishindwa kabisa kabisa katika mambo ya uchumi kwa miaka yote aliyoongoza hii nchi, zaidi ya 24. Aliiwacha nchi ni maskini wa mwisho duniani.

Alipong'atuka life expectancy ya Mtanzania ilikuwa hata miaka 40 haifiki. Jinsi alivyoshindwa katika huduma za afya.

Nilikuwa natafuta namna ulivyo-comment kwenye uzi huu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kumkumbuka-mwalimu-nyerere-nchini-uganda.html lakini sijakuona...Vip Mkapa alijitahidi?
 
Mara nyingi watu humu huwa wanakunanga lkn mm huwa nakusikiliza kwa makini sana... hoja yako ina mashiko

Lame umepewa hisa nini!? ni uchizi kumzungumzia nyerere kwa dhambi chache alizofanya ndani ya miaka 24 tukawafumbia macho mabaradhuli wanaotunyonya kwa zaidi ya miaka 30 na hatujui wataondoka lini. Lazima uzoe Jibu ambalo ni usefull kumfufua nyerere kwenye matatizo, na kumtumia kama kinga ni Usheitwahn wa kutukuka.
 
Mimi nitaungana na wewe kushangaa idadi ya wati ila kuhusu uchumi cc wenyewe ndio kikwazo kila mtu anajali tumbo lake
 
Nyerere, ndiye aliyekosea, uchumi alikuwa nao lakini aliukalia, alishindwa kabisa kabisa katika mambo ya uchumi kwa miaka yote aliyoongoza hii nchi, zaidi ya 24. Aliiwacha nchi ni maskini wa mwisho duniani.

Alipong'atuka life expectancy ya Mtanzania ilikuwa hata miaka 40 haifiki. Jinsi alivyoshindwa katika huduma za afya.

Nimetafuta comment yako kwenye huu uzi "https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kumkumbuka-mwalimu-nyerere-nchini-uganda.html" lakini sijakuona kabisa...vip Kwa Mkapa alijitahidi au naye kama Nyerere?
 
Mkuu point of correction! Nyerere alijitahidi sana ktk kipindi chake! Kufikia 1975 Tanzania ilikuwa kwa kasi ya ajabu kiuchumi, Viwanda, mashamba na exportation ilikuwa juu... Nyerere alipiganishwa vita na Amin bila ya yeye kujua, baadae nchi washiriki zilianguka kiiuchumu! Tanzania ilipigwa sunction kubwa kuliko ile ya Zimbabwe kwani Nyerere alikataa katakata kukubali Madini, Mafuta na Gesi yetu kuchimbwa kasha sisi kuachiwa mashimo kama kule Niger Delta!!! Shell waliondoka kwenda Sudan ambapo Albashir alivunja mkataba na kuwapa WACHINA... KOSA la NYERERE ni kutuletea Benjamin William Mkapa an Economic Hit Man alieandaliwa mara baada ya JKN kumpeleka USA kuw balozi! BMW alikamatwa na akina Ballali na kuandaliwa vilivyo kuwa EHM! ...Itoshe kusema JKN hakujua kuwa kijana wake alikwisha tekwa muda mrefu kuwa EHM... JKN alikuja kugundua mpango mzima baada ya BWM kuuza NBC! Hapa Mwalimu alikwenda kumuona Clinton na kumueleza masikitiko yake ya kuuzwa kwa Assets za NBC na NMB ambazo zimetapakaa nchi nzima! alimweleza kuwa wanachohitaji ni Credits tu na kama suala ni uwekezaji basi wabinafsishe Operations siyo Fixtures (majengo), mara baada ya kikao hicho (1998) Prof Stieglitz aliekuwa mshauri wa Clinton - uchumi alijiuzulu nafasi yake na kusema kuwa anakubaliana na JKN mwanzo mwisho... Inasemekana JKN aliandaliwa trip ya South Africa then UK ...Sasa tuna muenzi Baba wa Taifa kwa Kukinzana na nadharia zake zote! Hata zile zenye manufaa kwetu!!! Itoshe kusema Watanzania tulikosea sana Kuwa na BENJAMIN WILLIAM MKAPA !!! Huyu ndo chanzo na matatizo yote ya Tanzania ya sasa!!! Amini msiamini JK hapo alipo anatamani muda wake uishe salama kwani anafanyakazi katika mazingira na sera mbovu sana walizotengeneza EHM ambazo haiwezekani kuziondoa overnight ...

Huo ni uongo wa dhahiri shahir. Huo ndio wakati uchumi uko hoi bin taabani, foleni mpaka ya unga.

Kuanzia 1967 baada ya Nyerere kutangaza Azimio la Arusha, Uchumi ukafa kabisa, Nyerere kairithi nchi kwa wakoloni ikiwa ya kwanza katika Afrika kusafirisha mazao ya kilimo nje. Kuanzia hiyo 1967, ndiyo ikawa mwisho wa hayo na ikawa omba omba wa kutupwa.

Nilikuwepo.
 
Inachekesha sana...
Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikiwa na eneo la ardhi (nchi kavu na maji) lenye kilometer za mraba 945,087.
Nigeria yenyewe ni ya 32.Duniani ikiwa na 923,768km sq....

sasa hapa Utagundua kitu,
Nigeria inawezaje kuwa na watu zaidi ya Millioni 300. . . Alafu Tanzania kuna watu Millioni 47 tu...
inamaana sisi hatuna mbegu?

Nigeria imewezaje kuwa na Uchumi mzuri vile kuliko Tz...

Isitoshe Siasa zao sio tulivu tokea uhuru , kama ni Rasili mali hata sisi tunazo tena ni nyingi mno!!!

Tumekosea wapi jamani???

Kuwa na watu wengi sio sifa
 
J/Haji, Sio tu population na area size pekee ndio zina determine maendeleo ya nchi husika, kuna factors nyingi zingine pia, kuna nchi ngapi duniani zina population chini ya 7m na area size sawa na mkoa mmoja wa Tz. lakini zinasaidia kila nchi ya Africa hadi India pia inapewa misaada na hawana rasilimali yoyote ya ajabu...
 
Huu ni uongo..its obvious they are killing us..Tanzania kuna vita sema watu hamjui...ni vita..sisi ni Taifa kubwa jamani..Nigeria wanauana tokea Uhuru hata sasa lakini wapo Zaidi ya Millioni Mia Tatu.Msiignore hii fact..Africa is the same..Magonjwa hata kule yapo.
Theory yako kali, hivi unajua ukubwa wa Marekani vs China? (USA 9,629,091 km² Vs China 9,596,961 km²), hivi unajua population zao? (USA 300mil Vs China 1.3bil)

Kwa mtaji huo ndugu hebu tengeneza tena hoja yak vizuri, kuna factors nyingi zinazofanya mambo yawe kama yalivyo, sijui kama unajua kuwa nchi yetu watu wanaongezeka kwa kasi ya ajabu achilia mbali maradhi ya kutisha na vifo vya kizembe kama ajali nk..! Kama unajua hilo basi huko nyuma kuna vilivyosababisha tuwe hapa tulipo sasa.

Hata hivyo Nigeria sio 300mil bali ni 174mil, pia nomba uzingatie hili, Rusia ndio nchi kubwa zaidi duniani lakini ina watu 142mil India ni ya saba kwa ukubwa duniani lakini ni ya pili kwa populatin ina 1.2bil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom