Maajabu ya Tanzania: Kumbe bomba la gesi linatumika kwa 6% tu na 94% halina kazi

Ndiyo tatizo za nchi zetu, miradi mingi haina faida kwa nchi kama hili bomba pamoja na gesi ipo nchini kusini mwa Tanzania, ununuzi wa ndege za ATCL, kuhamia makao makuu Dodoma 2017, Kiwanja kipya cha ndege cha kimataifa, mikataba mibovu ..... listi ndefu ya miradi ya gharama kubwa bila kwanza kuangalia hali halisi
CAG Report madini, bomba la gesi Mtwara -DSM, PANAFRICA ENERGY, TPDC, STAMICO taarifa inaliza ukiisikia, sikiliza mwenyewe

MHE. RAIS INASIKITISHA SANA KUSIKIA MAKAMPUNI YA MADINI KUMBE HAYALIPI KODI SASA HUYO WAZIRI WA NISHATI MUHONGO ANAENDELEA KUFANYA NINI OFISINI NAYE ATIMULIWE ANAKUDANGANYA SANA. YEYE NDIYO ALIYESEMA ALIYEKUWA MD WA TANESCO MRAMBA ALITAKA KUPANDISHA BEI YA UMEME HUKU YEYE MUHONGO AKIJUA FIKA HALAFU MRAMBA ANAONDOLEWA YEYE ANABAKI PALE NISHATI KUNA MADUDU KIBAO YANAYOSABABISHWA NA MUHONGO KUTOKANA NA CHUKI BINAFSI ALIYONAYO, DHARAU, KIBURI, KUINGILIA UTENDAJI KWA KUVURUGA SHERIA.
 
Juzi JK alipoenda Bungeni akaonekana shujaa mpaka kwa KUB, wale wote waliompigia makofi wakiwemo wabunge wetu wa upinzani mlisahaulishwa na nini kuhusu madudu ya JK.

Uzalendo haupo ndani ya nchi yetu anahangaika JPM kuziba mianya hii ya kuibiwa kwa kiasi hiki nasi Watanzania tena wa upinzania tunamdhihaki ooh ooh ooh !!!!! Nchi yetu imeingia mikataba tata hasa ya madini....tumeachiwa mashimo, wanyama wetu wanatoroshwa, madini yetu yanatoroshwa kwa kweli anahitajika kiongozi anayedhubutu kukemea haya !!!!!!
 
Kwa kweli huyu mtu na familia yake nimewaacha mikononi mwa The Almighty Supreme Creator of all Universe, maana ndiyo atakaye jua cha ku mfanya! Mabaya aliyo yatenda katika nchi yetu Tanzania, inatia uchungu jamani!

Kama hakuwepo kabisa

Acha Mh. Magufuli atuwekee mstari na kuunyoosha, sababu hata uliopinda pinda pinda haukuwepo kabla yake.
 
. Kunawatu wanaichafua zaidi ccm kwa kujitia watetezi kumbe majuha tuu.
Inamaana baraza la mawaziri hawakuridhia? Wabunge wa ccm walitetea nakuwa vipazasauti vya Huu uchuro hukuwasikia?? Ukiwa mwanaume usipende tumika utatumika vibaya...get straight like a MAN au uko vile?

Unamuandikia mwanaume gani hayo uliyoandika!? Nipitie hukooooo
 
Juzi JK alipoenda Bungeni akaonekana shujaa mpaka kwa KUB, wale wote waliompigia makofi wakiwemo wabunge wetu wa upinzani mlisahaulishwa na nini kuhusu madudu ya JK.

Uzalendo haupo ndani ya nchi yetu anahangaika JPM kuziba mianya hii ya kuibiwa kwa kiasi hiki nasi Watanzania tena wa upinzania tunamdhihaki ooh ooh ooh !!!!! Nchi yetu imeingia mikataba tata hasa ya madini....tumeachiwa mashimo, wanyama wetu wanatoroshwa, madini yetu yanatoroshwa kwa kweli anahitajika kiongozi anayedhubutu kukemea haya !!!!!!
Tena huyu afadhari aliyepita angalau aliacha na masikini pesa iwafikie ila só huyu kila siku ni vijembe tu na kuongoza hawezi. Kibaya zaidi anapenda Kiki kama vile ni kaka yake na Harmorapa.
 
Back
Top Bottom