Maajabu ya Tanzania: Kumbe bomba la gesi linatumika kwa 6% tu na 94% halina kazi

Nasubiri reports za hostel na majengo yanayo jengwa kwa mkurupuko kule idodomya.
 
Si nimekuandikia umtafute alipo akueleze au vipeeee!? Kwa bahati nzuri au mbaya nimemaliza na siongezi. Kuna kujua wapi kuachia, na ni bora kea sababu hata unisukume vipi unafikiri wewe mjanja mimi nimemaliza.
Ndio maana nakushangaa sana unaposhabikia vitu usivyoweza tolea maelezo!! Hamna kiongozi mwenye akili timamu anaweza kuona uozo akakaa kimya!! Huwezi sema alikaa kimya ili asifukuzwe huu ni ujina na uoga!!

Unakumbuka mama ndalichako alivyopishana na jk alifanya nini?? Kwanini magufuli alivyoona madudu akakaa kimya ilihali anajua akikaa kimya mikataba itasainiwa na ikisaniwa hata akiwa rais kuivunja ni hasara kwa nchi??!!

Sikiliza ndugu..siko hapa kubishana niko hapa kukuambia hujui unachoshabikia humj ndani!! Kwa kifupi umepitia kitu kinaitwa "brain washing"!! Kaa jitafakari kwa manufaa ya nchi na sio chama...uliza kilicho mkuta nape then uchukue binti!!!

Alafu mungu hawezi kuleta kiongozi aliyeuza nyumba za serikali na kumpa kimada wake so acha kusema ni chaguo la mungu!!

Wasalimie lumumba na ukachukue malipo yako mda ushaisha!!

Kwaheri.
 
Kwa ufupi:
Bomba la gesi toka Mtwara hadi Dar ambalo limeigharimu serikali zaidi ya Tshs Trilion Mbili na nusu imebainika kwa zaidi ya 94% halina kazi.

Kwa mujibu wa report ya CAG inasema ni 6% za bomba hilo ghari zaidi Afrika mashariki ndio inafanya kazi huku ikighubikwa na ufisadi mkubwa.

Kwa lugha rahisi kuwa 94% ya bomba haitumiki.
Hints:
1. Bei ya watumiaji ni sawa ingawa watumiaji wako umbali tofauti.
2. Kutolipwa ankara za mauzo toka Tanesco kwenda TPDC
3. Utata kwenye mikataba ya mkopo
4. Kulipia gesi hata kama haijatumika (kama ilee ya IPTL)
5. Mkopo ulitarajiwa kulipwa kwa uuzwaji wa gesi lakini haifanyiki hivyo
6. Bomba limejengwa bila kujua au kutafta wateja ( yale yale ya ATCL hakuna business plan)
7. Kiasi kinachozalishwa ni kidogo kulipa mkopo
8. Mpaka sasa mteja pekee ni tanesco anyetumia futi za ujazo 46.61 badala ya 80 milioni kwa siku
9. Lengo ilikuwa kuuza viwandani, majumbani lakini haifanyiki hivyo hivyo ni underutilized
10. Tanesco inadaiwa USD million 61.35 na TPDC na hawajalipa mpaka leo
11. Hivyo deni linqzidi kuwa kubwa kwa kutolipa mkopo kwa wakati

HABARI KAMILI: CAG akosoa bomba la gesi

Other data:
UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

Wabunge wetu kazi yao kupiga makofi ,kutukanana na kushangilia wale waliowaita kwa majina ya dharau,nchi inaliwa wao wamebaki kjidai kudadavua vifungu vya sheria ,kwenye mijadala ya hovyo hapo ndio utawajua ''maraisi''wa SACCOs za sheria.
 
Jameni kuna kitu zaidi ya rushwa nchini kwetu. Nimeanza kutilia shaka competence ya wataalamu wa hii sector. Nikikumbuka juzi kati Prof Muhongo kawabonda wanasheria wa wizara yake kuwa hawajui lugha ndio maana wanaingiza nchi mkenge na akafikia kusema wajiunge British Council; mimi nashauri nchi ikasomeshe vijana lama 100 kwenye best universities duniani zilizobobea kwenye madini oil and gas. Technolojia inaenda ikibadilika hao kina Muhongo waliosoma miaka ya 80 yawezekana wako vizuri kwenye theory. Mchina kaja na libomba lenye over capacity inakuwa ngumu kwao kujua sababu hajafanya kazi ya hayo mabomba. Tz tukubali hatuna wataalamu current... Tusikwepe gharama tusomeshe na kuwasainisha bond ya kusave serikalini at least miaka 10
 
Kwa ufupi:
Bomba la gesi toka Mtwara hadi Dar ambalo limeigharimu serikali zaidi ya Tshs Trilion Mbili na nusu imebainika kwa zaidi ya 94% halina kazi.

Kwa mujibu wa report ya CAG inasema ni 6% za bomba hilo ghari zaidi Afrika mashariki ndio inafanya kazi huku ikighubikwa na ufisadi mkubwa.

Kwa lugha rahisi kuwa 94% ya bomba haitumiki.
Hints:
1. Bei ya watumiaji ni sawa ingawa watumiaji wako umbali tofauti.
2. Kutolipwa ankara za mauzo toka Tanesco kwenda TPDC
3. Utata kwenye mikataba ya mkopo
4. Kulipia gesi hata kama haijatumika (kama ilee ya IPTL)
5. Mkopo ulitarajiwa kulipwa kwa uuzwaji wa gesi lakini haifanyiki hivyo
6. Bomba limejengwa bila kujua au kutafta wateja ( yale yale ya ATCL hakuna business plan)
7. Kiasi kinachozalishwa ni kidogo kulipa mkopo
8. Mpaka sasa mteja pekee ni tanesco anyetumia futi za ujazo 46.61 badala ya 80 milioni kwa siku
9. Lengo ilikuwa kuuza viwandani, majumbani lakini haifanyiki hivyo hivyo ni underutilized
10. Tanesco inadaiwa USD million 61.35 na TPDC na hawajalipa mpaka leo
11. Hivyo deni linqzidi kuwa kubwa kwa kutolipa mkopo kwa wakati

HABARI KAMILI: CAG akosoa bomba la gesi

Other data:
UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

Namba 9 hapo juu ikianza kutekelezwa sioni shida. CAG kafanya kazi yake sasa Mh Muhongo na Mh Mwaijage gesi ya majumbani na viwandani ije tununue.
 
Nafurahi sna kuishi nchi hii ya watu wasaUlifu sana, ningekua madam president hats siku 2 tu, mgeisoma namba!!! Go go ccm!!! Wajengeeeni ma flyover, ma treni na ndege hata 10, maghorofazzzz maaana ni wachache wenye upeo wanao elewa kuwa hii niaina mpya ya colonialization!!!

World bank wanatoa hii mikopo na misaada, mwenye jicho la tatu ajiulize why us????
 
April 20, 2017
Dar-es_salaam, Tanzania

TPDC YATANGAZA MPANGO WA UCHAMBUZI YAKINIFU ILI KUFANIKISHA USAMBAZAJI WA GESI MIKOA YA DSM, PWANI, MOROGORO NA TANGA
Kaimu Mkurugenzi wa TPDC Kapuulya Musomba ambaye ameelezea na kuweka wazi mipango ya Shirika hilo.
TPDC imesema kwa mwaka huu 2017, wamepanga kufanya upembuzi yakinifu wa mradi wa uendeshaji wa ujenzi wa mtandao wa mabomba ya kusambaza gesi asilia ndani ya jiji la Dar es Salaam ambapo Mshauri Mwelekezi wa kazi hiyo anatarajiwa kupatikana June 2017.

Source: Millard Ayo
 
Back
Top Bottom