Maajabu ya Tanzania: Kumbe bomba la gesi linatumika kwa 6% tu na 94% halina kazi

Yeye si alikua mbunge??
Mbona hatukumsikia bungeni akiwa anatetea huu ujinga usifanyalike??

Ni lazima ila kiongozi ayaongeleee, si bora yeye alijua lengo lake baadae baada ya kuona yanayojiri na ameyafikia sasa tumpe nafasi ayatende. Watanzania kwanza kwake na maendeleo sio kula bata.
 
Hii nchi miradi yote ni ya pwagu na pwaguzi, mradi huu ulisimamiwa na prof, tena wa madini madudu haya yote hakuyaona kweli? Hapana!
 
Ni lazima ila kiongozi ayaongeleee, si bora yeye alijua lengo lake baadae baada ya kuona yanayojiri na ameyafikia sasa tumpe nafasi ayatende. Watanzania kwanza kwake na maendeleo sio kula bata.
Binti bado hujanijibu swali!!

Kwenye vikao vya mawaziri umetetea kwamba hakua na maamuzi!!

je mbona hatukumsikia kwenye bunge akikataa huu ujinga?? kwanini alikaa kimya kama alikua na nia njema na hii nchi??

NAOMBA MAJIBU TAFADHALI!
 
Jamaa una swali zuri sana. Ni kwamba kinachoongelewa ni uwezo wa bomba kupitisha certain amount of gas (in volume), na sio cross section ya bomba times length ( V=Area × Length). Design capacity ya bomba ikiwa 1000mmscfd na ukapitisha 80mmscfd bado gesi itajaa kwenye bomba ( kwa sababu ni compressible) lakini ni under-capacity. I hope umenielewa
Asante sana, Mkuu.
 
Always kwenye investment especially kama hii ya public infrastructure lazima ufactor in na vizazi vijavyo. It would be foolish to expect eti limejengwa and immediately lina operate at 100% capacity.
Kuna mipango ya kuleta mabasi ya mwendokasi ya kutumia gesi, kujenga Natural Gas Distribution Network for Dar es Salaam na kujenga bomba to Mombasa for export to the EAC market. All that will bring up consumption ya gesi. Refer to the Natural Gas Utilization Master Plan

Kiongozi, kwa kautaalamu kangu kadogo, pindi tunapoongelea bomba la gesi, bomba lenyewe ni uekezaji kamili kabla hata ya kupitisha gesi, bomba la gesi linapokuwepo kinachobakia ni kutafuta masoko ili kuhakikisha lina kuwa ultilize kadiri iwezekanavyo, kwa sasa sisi kama nchi tumeshajivua na swala la bomba kilichobaki ni kutafuta masoko ya gas ndani na hata nje ili ultilization ifikie 90%+ kama ukrain, kwani hata wao ukrain ultilazation ya bomba haikuanzia 90%+, bali 90%+ ilikuja baada ya kuwa na bomba na mahitaji ya gesi kuongezeka. Endapo tungejenga dogo basi kila mara ambapo mahitaji ya gesi yangeongezeka tungelikuwa tunafanya kazi ya kujenga bomba. Ahsante kiongozi!
Nashkuru kwa majibu yenu at least its making sense now....
 
Binti bado hujanijibu swali!!

Kwenye vikao vya mawaziri umetetea kwamba hakua na maamuzi!!

je mbona hatukumsikia kwenye bunge akikataa huu ujinga?? kwanini alikaa kimya kama alikua na nia njema na hii nchi??

NAOMBA MAJIBU TAFADHALI!

Mbona unanivalia njuga mimi!?

Angesema lolote kiundani chini ya bosi wake yule ambaye alishambadilishia kazi, kutoka huku kwenda kule kwa maslahi yake binafsi na wenzake alipoonyesha kupinga majambo. So unafikiri angefika alipo leo? Mengine ukitaka majibu muandikie e-mail au nenda kaombe kumuona, akueleze jinsi alivyotumia akili kufika alipo na amewaacha wote mataaaaa, ha ha haaaaaa super leader.

Raisi Magufuli ni chaguo la Mungu, alimuongoza na akaja kuwa Raisi wetu mpendwa.

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeee
 
leo wanatudanganya et selkar ya vwonda, jaman nch zlzofanya mapinduz ya vwanda kitu kikubwa walchowekeza ilikua kilimo na technolojia, miundombnu na kuhakikisha wanatengeneza soko la uhakika, leo wanahubr vwonda kilimo kpo hoi bin taaban ICU
 
Mbona unanivalia njuga mimi!?

Angesema lolote kiundani chini ya bosi wake yule ambaye alishambadilishia kazi, kutoka huku kwenda kule kwa maslahi yake binafsi na wenzake alipoonyesha kupinga majambo. So unafikiri angefika alipo leo? Mengine ukitaka majibu muandikie e-mail au nenda kaombe kumuona, akueleze jinsi alivyotumia akili kufika alipo na amewaacha wote mataaaaa, ha ha haaaaaa super leader.

Raisi Magufuli ni chaguo la Mungu, alimuongoza na akaja kuwa Raisi wetu mpendwa.

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeee
Una maana aliona ujinga unafanyika alafu akakaa kimya si ndio??
 
Ni utawala wa awamu ya 4, na aliambiwa plant iwe kule kule Mtwara lakini Mkwe Marwa angepata wapi cha juu? Inasikitisha na inahuzunisha mbele ya macho ya Mola kuona watu wanammis jk, angetumaliza huyu mtu! Mwenye Enzi Mungu ametuhurumia sana sana na ametupa upendeleo wa hali ya juu kutuletea rais wetu JPM!
unafki umetujaa na kutoelewa maisha yetu.. JK hakujali maisha ya mtz yeyote..may be JPM anaweza kuwa anajali
 
Kijana utakuwa unakauelewa flani hivi. Ukitoka job nikute hapa kimara baruti upate walau moja ya baridi. Unajua bana uelewa wa haya mambo wengi hawana kabisa...washaanza laumu mikataba ya gas mibovu ukiwauliza IPI na IPI kimya. Kwanza hawajui hata visima vingapi vinazalisha. Ukienda mbali sana hata hawajui matumizi ya gas ya mtwara ni nini? Wanazani prof muhongo kasoma TEKU. Au TPDC kuna vilaza pale. Jamaa kuna kapointi kama hujataka kuwapa. Hebu wape tena.
Mkuu hoja ya watu ni concern alionyesha CAG kuwa gas pipe ipo utilized 6% pekee na CAG kasema mteja pekee ni TANESCO na amelaumu kuwa bomba liliijengwa kabla ya kupatikana wateja yaani hawakufanya forecast ya demand and supply kabla hawajafanya decision ya ujenzi wa bomba la gesi

MUUNGWANA BLOG: Umebainika Udhaifu mradi bomba gesi
 
Masikini tanzania yetu kamwe hatutaendelea kama hatuwezi mradi mkubwa namna hiyo kuutumia kwa aslimia 90% sote Tanzania ni failiars . cag ametupa 6% zote ni wazungushaji na maprofesa wetu wetu wamezungusha
 
Kwa ufupi:
Bomba la gesi toka Mtwara hadi Dar ambalo limeigharimu serikali zaidi ya Tshs Trilion Mbili na nusu imebainika kwa zaidi ya 94% halina kazi.

Kwa mujibu wa report ya CAG inasema ni 6% za bomba hilo ghari zaidi Afrika mashariki ndio inafanya kazi huku ikighubikwa na ufisadi mkubwa.

Kwa lugha rahisi kuwa 94% ya bomba haitumiki.
Hints:
1. Bei ya watumiaji ni sawa ingawa watumiaji wako umbali tofauti.
2. Kutolipwa ankara za mauzo toka Tanesco kwenda TPDC
3. Utata kwenye mikataba ya mkopo
4. Kulipia gesi hata kama haijatumika (kama ilee ya IPTL)
5. Mkopo ulitarajiwa kulipwa kwa uuzwaji wa gesi lakini haifanyiki hivyo
6. Bomba limejengwa bila kujua au kutafta wateja ( yale yale ya ATCL hakuna business plan)
7. Kiasi kinachozalishwa ni kidogo kulipa mkopo
8. Mpaka sasa mteja pekee ni tanesco anyetumia futi za ujazo 46.61 badala ya 80 milioni kwa siku
9. Lengo ilikuwa kuuza viwandani, majumbani lakini haifanyiki hivyo hivyo ni underutilized
10. Tanesco inadaiwa USD million 61.35 na TPDC na hawajalipa mpaka leo
11. Hivyo deni linqzidi kuwa kubwa kwa kutolipa mkopo kwa wakati

HABARI KAMILI: CAG akosoa bomba la gesi



Other data:
UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

kinacho nisikitisha ni viongozi wetu ndio wanotufanya hivi na kutuonyesha kama ni watu wapumbavu kuliko, na elimu yetu ni bure kabisa.
 
matumizi ya bomba la gesi yamekuwa interupted na mabadiliko ya utawala, according to plan bomba hilo lilitakiwa lizalishe 2000MW ifikapo 2020 na gesi ya kuweza kuzalisha 1000MW itauzwa viwandani, ila kwa plan ya sasa mpaka 2020 litakuwa linazalisha a1000MW only na gesi inayobaki kiduchu ndo vinauziwa viwanda,

Sio mbaya saana maana tutaanza lipa 10yrs after kukamilika kwake meaning by that time tutakuwa tunalitumia to the maximum
 
. Kunawatu wanaichafua zaidi ccm kwa kujitia watetezi kumbe majuha tuu.
Inamaana baraza la mawaziri hawakuridhia? Wabunge wa ccm walitetea nakuwa vipazasauti vya Huu uchuro hukuwasikia?? Ukiwa mwanaume usipende tumika utatumika vibaya...get straight like a MAN au uko vile?
Cocochanel sio mwanaume ni mwanamke!
 
Hii ni aibu kwa kukuwa bado Watanzania waliowengi wa kipato cha chini wanasumbuka mno na matatizo ya ukosefu wa mitaji, huduma za mbovu za afya na Elimu, ukosefu wa maji safi na tatizo la viongozi kuwalaghai kila uchaguzi ukifika. Halafu wao wamekazani na vitu visivyogusa maisha yao ya kila siku kuwekeza pesa nyingi. Ni aibu na uonevu kwa Binadamu. Ipo siku Mungu atasikia kilio cha wanyonge wasio na hatia. Mungu tunakuomba utusaidie sana waja wako dhidi utawala dhalimu!
Wanapenda sana kujisifu pale wanapojenga miundombinu kuwa ni mradi mkubwa Africa mashariki na kati bila kujali mwananchi wa kawaida atafaidika vipi...
 
Nakumbuka sheria ya gesi na mafuta ilipitishwa bungeni kwa nguvu na harakaharska usiku huku vyama vya upinzani vikiipinga vikali lakini waliambulia kejeli na matusi. Ikabidi watoke nje! Nakumbuka wabunge wa ccm walikuwa wakisema hii sheria isipopitishwa haraka hatutaweza kuifaidi gesi kwa wskati hivyo wspinzani wanarudisha maendeleo nyuma, huku wapinzani wao wakiotaka serukali iache kukimbiza huo muswada kimwendokasi bali wawape wabunge mudacw kutosha kuujadili kws kina lakini waligonga mwamba!
 
Una maana aliona ujinga unafanyika alafu akakaa kimya si ndio??

Si nimekuandikia umtafute alipo akueleze au vipeeee!? Kwa bahati nzuri au mbaya nimemaliza na siongezi. Kuna kujua wapi kuachia, na ni bora kea sababu hata unisukume vipi unafikiri wewe mjanja mimi nimemaliza.
 
Back
Top Bottom