Maajabu ya sura ya sisimizi

mkuu huwa unaniwahi sana kwa majibu yako.
hii ya pili naona..

ya kwanza ni ile ya jamaa kuuliza kwamba kwa nini sikukuu ya wakulima ni tarehe 8 mwez wa 8,kabla sijajibu napitia comment naona umecomment jibu lile lile ambalo nilitaka kumjibu

na hii pia hahah
Weeee hahaha
 
Ni mzuri kwelikweli

Yaani Ukiwaondoa Nyuki na Mchwa, hakuna wadudu wengine wenye ushirikiano kama hawa.
 
Mtakuwa ndugu nyie hahaha

Back
Top Bottom