Maajabu ya sura ya sisimizi

Maajabu ya sura ya sisimizi

Leo usiku hatulali, nimeanza kumuogopa sisimizi.
 
Ndio maana alifanywa mdogo sana ili asitutishe,
mkuu huwa unaniwahi sana kwa majibu yako.
hii ya pili naona..

ya kwanza ni ile ya jamaa kuuliza kwamba kwa nini sikukuu ya wakulima ni tarehe 8 mwez wa 8,kabla sijajibu napitia comment naona umecomment jibu lile lile ambalo nilitaka kumjibu

na hii pia hahah
 
ndio maana huwa anamuweza siafu kwenye mapambano...kumbe siafu ni mlaini tu kuliko huyu bhna mdogo
 
Back
Top Bottom