Maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani

Ila huko kihomboi ni kiboko ya yote maana kuna rafik angu alikua anafundisha new kihomboi sec ilibidi serikal iingilie kati ahamishwe nasikia hadi walimu wakiume ....wana mambo ya ajabu ule mji ni mdogo ivyo kuna majungu na mashindano plus wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule ipo makao makuu ya wilaya Kwa hiyo hao walimu wanawake wengi ni wake wa viongozi lazima mashindano yawepo. Wakati nasoma Mimi kulikuwa na wake wa DC wawili (wake wenza), Mke WA DED na Viongozi wengine wengi tu, kikubwa je wanatimiza wajibu wao? Mengine waachiwe wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni Tanzania hii au??
Maana navyojua mimi shule zote zimesitisha shughuli za kimasomo kwa walimu na wanafunzi
Ni utaratibu uloanza kama miaka miwili imepita, simaanishi nimetembelea kipindi hiki cha corona. Ila baada ya kufunga shule niliambiwa bado walikuwa na sare hata siku za mwisho
 
Kuna mwalimu aliacha ualimu baada ya kusomea accounts alikuwa ansema walimu ni kama watoto wadogo, akili zao huwa hazikui. Sidhani kama ni kweli lakini, hayo yalikuwa maoni yake juu ya walimu wenzake.
Hatari
 
Ila huko kihomboi ni kiboko ya yote maana kuna rafik angu alikua anafundisha new kihomboi sec ilibidi serikal iingilie kati ahamishwe nasikia hadi walimu wakiume ....wana mambo ya ajabu ule mji ni mdogo ivyo kuna majungu na mashindano plus wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakamhamishia mkoa gani sasa?
 
Cha muhimu sio kuwavisha sare,nguo znazovaliwa na walimu hao zina_match na ethics za kazi yao? Kumbuka kuna utaratibu wa mavazi kwa walimu.
Je,kushibdana huko kuvaa (km ni nguo zinazokubalika km nilivyoeleza hapo juu) kuna athiri kwa namna yoyote taaluma na maadili ya watoto? Km jibu HAPANA,kuwavisha sare ni KIOJA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule ipo makao makuu ya wilaya Kwa hiyo hao walimu wanawake wengi ni wake wa viongozi lazima mashindano yawepo. Wakati nasoma Mimi kulikuwa na wake wa DC wawili (wake wenza), Mke WA DED na Viongozi wengine wengi tu, kikubwa je wanatimiza wajibu wao? Mengine waachiwe wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hela zote zinaelekezwa kwenye kudamshi?
 
Back
Top Bottom