Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,810
- 7,696
Sio busara hata kidogo kufanya hivyo.
Habari imejaa majungu matupuHalo JF.
Waswahili walisema tembea uone. Ktk tembea na pita zangu mkoani singida hususan wilaya Iramba, natua KIOMBOI mjini yalipo makao makuu ya wilaya.
Nakutana na maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani. Ktk shule hii kuna walimu wengi na walio wengi zaidi ni wanawake. Penye wanawake au wabeijing kuna vitimbi na mikasa ya aina yake.
Walimu hawa kutokana na mashindano ya kuvaa, wamelazimishwa kuvaa sare zinazofanana. Uamuzi huu umefanywa na uongozi wa halmashauri ya wilaya ili kupunguza tambo na majungu miongoni mwa wanawake hawa. Lengo ni ili wote walingane.
Sasa nikaona haya pia ni maajabu, japo pia bado wanashindana ktk kubadilisha mashati meupe. Leo mtu atava mtumba, kesho la dukani nk. Nikasema kweli binadamu humuwezi.
Hivi ungejisikiaje wewe kupigwa picha na kuweka humu jukwaani?Ungeweka picha tungechagua michepuko. Si unajua kamusi ya Singida haina neno noo
Haimaanishi ni mabinti wa singida wote. Serikali sio lazima impange mtu kufanya kazi Nyumbani kwao.Ungeweka picha tungechagua michepuko. Si unajua kamusi ya Singida haina neno noo
Mimi nimeona kama vile jambo la kushangaza nikaona nishee nanyi
Na sisi tulitaka tushangae ili tujue namna gani ya kuchangiaMimi nimeona kama vile jambo la kushangaza nikaona nishee nanyi
[emoji23][emoji23][emoji23]Na sisi tulitaka tushangae ili tujue namna gani ya kuchangia
Wewe ulivyoona ukashangaa, sisi hatujaona halafu tunakuomba picha ili nasi tushangae, we unakataa halafu unataka tushangae bila picha, Kiukweli inashangaza sana
Ni sawa na kuangalia romantic movie mbele ya wazaziStory bila picha ni sawa na mwanamke mwenye kiuno cha nyoka kuvaa Dela !!!!!
Dah kweli watupia comments ni wa kushangaz sana๐๐Na sisi tulitaka tushangae ili tujue namna gani ya kuchangia
Wewe ulivyoona ukashangaa, sisi hatujaona halafu tunakuomba picha ili nasi tushangae, we unakataa halafu unataka tushangae bila picha, Kiukweli inashangaza sana
Habari imejaa majungu matupu
Walimu wana nini mzeeUtawaweza Waalimu.
nilishauri hapa jana kuwa hawa walimu wanawake waanze kuajiriwa kuanzia umri wa miaka 35, mkaniponda na kuukaushia uzi wangu mpaka sielewi hata ulikopotelea. endeleeni kushuhudia nyie wenyewe!!!Halo JF.
Waswahili walisema tembea uone. Katika tembea na pita zangu mkoani Singida hususan wilaya Iramba, natua KIOMBOI mjini yalipo makao makuu ya wilaya.
Nakutana na maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani. Katika shule hii kuna walimu wengi na walio wengi zaidi ni wanawake. Penye wanawake au wabeijing kuna vitimbi na mikasa ya aina yake.
Walimu hawa kutokana na mashindano ya kuvaa, wamelazimishwa kuvaa sare zinazofanana. Uamuzi huu umefanywa na uongozi wa halmashauri ya wilaya ili kupunguza tambo na majungu miongoni mwa wanawake hawa. Lengo ni ili wote walingane.
Sasa nikaona haya pia ni maajabu, japo pia bado wanashindana katika kubadilisha mashati meupe. Leo mtu atava mtumba, kesho la dukani nk. Nikasema kweli binadamu humuwezi.