Maajabu ya Polepole

Maajabu ya Polepole

... kwa uongo wa Wabongo, DNA (Vinasaba) vya hiyo damu vikipimwa tutaambiwa ni damu ya mbuzi au mchuzi wa fenesi uliowekewa tomato sauce!
😅
 
Tatizo mnakimbilia kutoa maoni kabla ya kusikiliza kilichotokea
1. Alikuwepo nchini kabla ya kujiuzulu, amejiuzulu akiwa hapahapa

2. Nwenyenyumba hakua anajua lolote kuhusu polepole, mpangaji wake ni ndugu wa polepole. Hata palipovamiwa nwenyenyumba ndio alimpigia ndugu huyo baada ya majirani kumjulisha kuna uvamizi

3. Hiyo inaweza kuwa na ukweli au isiww namna ulivyoelezea anajua yeye alikua anatokaje. Kaka yake amesema walikua wakionana

4. Karudi kabla hajajiuzulu

5. Hiyo hatujui
Mkuu pole sana sote tumeumia, Umeandika maneno ya kawaida ila kwa tone ya ukali iliyojificha.

Take heart champ!
 
1. Aliingiaje Tanzania?

2. Aliamini mwenye nyumba wake hangemchoma? Kumuhifadhi mtu wa aina hiyo ni sawa na kuunga mkono uhaini kwa serkali je aliamini mwenyenyumba wake asingemchoma? Maana kumpangisha ni sawa na kuhifadhi cocaine bangi au silaha nyumbani kwako.

3. Kwanamna yoyote alikuwa anaficha utambulisho akitoka na gari mfano kuvaa hijabu kidemu.

4.Je kurudi kwake bongo na kauli za kapten tesha ilikuwa ndio maandalizi ya kupindua nchi?

5. Naamini kuna watu wanafinywa muda huu zaidi ya tesha na Polepole.
Sio dawa kifanyikekile kinachotakiwa hayo yote yasingetokea na yasingekuwa na sababu!
 
Jamani kukaa nchi za watu bila mishemishe hasa ukiwa huna uhalali wa kuishi sio kitu rahisi
Halafu ukizingatia yuko kyuba ambayo ni swahiba mkubwa wa CCM, angebebwa mzobemzobe na serikali ya kyuba mpaka kukabidhiwa bongo....
Okay sawa
 
Binadamu tumezaliwa tofauti. Kuna wanaoweza kufanya mambo fulani na wasioweza
Kuna watu kitu konachoitwa kifo kwao si jambo gumu ilimradi ametimiza azma yake

Mimi , wewe, au yule hatuwezi kufanya anachofanya polepole au Lissu. Lakini wao wanafanya na wanajua matokeo yake. Kuna watu wapo tayari kufa muda wowote, ndio maana huwa mnashangaa wale wanaovaa mabomu na kujilipua

Kuna watu hawawezi kwenda jeshini kwa kuhofia kufia kwenye mafunzo au wakati wa Vita, lakini wapo maelfu hilo wala hawajali.

Iwe polepole angebaki huko, au asingebaki, iwe angekaa kimya au angeongea kifo huwa kipo tu.
Ni kweli mkuu
 
Ni kweli
 
mimi nitakua mtu wa mwisho kuamini kuwa polepole kwa yote anayoyafahamu na kuyafanya alikua tanzania na ametekwa, huenda ni movie linachezwa na polepole anyway muda utasema
 
mimi nitakua mtu wa mwisho kuamini kuwa polepole kwa yote anayoyafahamu na kuyafanya alikua tanzania na ametekwa, huenda ni movie linachezwa na polepole anyway muda utasema
Waswahili tunashindwa kufanikisha au kutimiza lengo ni kwasababu ya kutokuwa na uwezo wa kuyadhibiti mazao yatokanayo na akili zetu,kila tulisikialo hatuna muda wa kutafakari bali tunalianzisha la kupingana nalo...

Mtoa taarifa: Polepole katekwa...
Mchangiaji:Hiyo ni movie kacheza Polepol
 
Yoote juu ya yote matukio haya yanazidi kupandisha hari ya vijana na wananchi kutaka kupambana na mfumo unaonekana ni mfumo ovu..
Mimi nina mtazamo tofauti.

Kukamatwa kwa Humphrey Polepole kunadhoofisha harakati yote dhidi ya serikali dhalimu. Yaani kuna mtu yuko kijijini, ndani ndani huko, naye ameshangaa imekuwaje Polepole akamatwe kirahisi hivyo kama kweli alikuwa serious na jambo alilokuwa analipambania? Mtu anaongea mambo mazito vile halafu hajajidhatiti kiulinzi? Hakuwa na back up ya 'watu wa system' wa kumlinda?

Kama yeye amedakwa kirahisi vile, vipi kwa raia atakayeingia barabarani kuandamana hiyo Oktoba 26? Huoni hiyo imewavunja moyo watu? Mimi nashauri Wananchi wasithubutu kuandamana, maana wanaohamasisha hayo maandamano wenyewe hawajajipanga. Si ajabu hata yule Kapteni Tesha naye ni mweupe tu na hana back up yoyote. Kwanini Wananchi wafe bure barabarani huko?
 
Back
Top Bottom