Maajabu ya Polepole

Maajabu ya Polepole

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,298
1. Aliingiaje Tanzania?

2. Aliamini mwenye nyumba wake hangemchoma? Kumuhifadhi mtu wa aina hiyo ni sawa na kuunga mkono uhaini kwa serkali je aliamini mwenyenyumba wake asingemchoma? Maana kumpangisha ni sawa na kuhifadhi cocaine bangi au silaha nyumbani kwako.

3. Kwanamna yoyote alikuwa anaficha utambulisho akitoka na gari mfano kuvaa hijabu kidemu.

4.Je kurudi kwake bongo na kauli za kapten tesha ilikuwa ndio maandalizi ya kupindua nchi?

5. Naamini kuna watu wanafinywa muda huu zaidi ya tesha na Polepole.
 
Tatizo mnakimbilia kutoa maoni kabla ya kusikiliza kilichotokea
1. Alikuwepo nchini kabla ya kujiuzulu, amejiuzulu akiwa hapahapa

2. Nwenyenyumba hakua anajua lolote kuhusu polepole, mpangaji wake ni ndugu wa polepole. Hata palipovamiwa nwenyenyumba ndio alimpigia ndugu huyo baada ya majirani kumjulisha kuna uvamizi

3. Hiyo inaweza kuwa na ukweli au isiww namna ulivyoelezea anajua yeye alikua anatokaje. Kaka yake amesema walikua wakionana

4. Karudi kabla hajajiuzulu

5. Hiyo hatujui
 
Aisee sijui kwann alirudi bora angebaki hukohuko
 
Yoote juu ya yote matukio haya yanazidi kupandisha hari ya vijana na wananchi kutaka kupambana na mfumo unaonekana ni mfumo ovu..
 
Aisee sijui kwann alirudi bora angebaki hukohuko
Binadamu tumezaliwa tofauti. Kuna wanaoweza kufanya mambo fulani na wasioweza
Kuna watu kitu konachoitwa kifo kwao si jambo gumu ilimradi ametimiza azma yake

Mimi , wewe, au yule hatuwezi kufanya anachofanya polepole au Lissu. Lakini wao wanafanya na wanajua matokeo yake. Kuna watu wapo tayari kufa muda wowote, ndio maana huwa mnashangaa wale wanaovaa mabomu na kujilipua

Kuna watu hawawezi kwenda jeshini kwa kuhofia kufia kwenye mafunzo au wakati wa Vita, lakini wapo maelfu hilo wala hawajali.

Iwe polepole angebaki huko, au asingebaki, iwe angekaa kimya au angeongea kifo huwa kipo tu.
 
Tatizo mnakimbilia kutoa maoni kabla ya kusikiliza kilichotokea
1. Alikuwepo nchini kabla ya kujiuzulu, amejiuzulu akiwa hapahapa

2. Nwenyenyumba hakua anajua lolote kuhusu polepole, mpangaji wake ni ndugu wa polepole. Hata palipovamiwa nwenyenyumba ndio alimpigia ndugu huyo baada ya majirani kumjulisha kuna uvamizi

3. Hiyo inaweza kuwa na ukweli au isiww namna ulivyoelezea anajua yeye alikua anatokaje. Kaka yake amesema walikua wakionana

4. Karudi kabla hajajiuzulu

5. Hiyo hatujui
Nani atamlipa mwenye nyumba uharibifu uliojitokeza
 
Tatizo mnakimbilia kutoa maoni kabla ya kusikiliza kilichotokea
1. Alikuwepo nchini kabla ya kujiuzulu, amejiuzulu akiwa hapahapa

2. Nwenyenyumba hakua anajua lolote kuhusu polepole, mpangaji wake ni ndugu wa polepole. Hata palipovamiwa nwenyenyumba ndio alimpigia ndugu huyo baada ya majirani kumjulisha kuna uvamizi

3. Hiyo inaweza kuwa na ukweli au isiww namna ulivyoelezea anajua yeye alikua anatokaje. Kaka yake amesema walikua wakionana

4. Karudi kabla hajajiuzulu

5. Hiyo hatujui
Instagram kuna komenti ilidai polepole yupo Moshi huko sijui sehemu gani nikajisemea polepole yuko ulaya huyu jamaa kachanhanyikiwa leo kiko wapo?

Fullstop kwishaa
 
Tatizo mnakimbilia kutoa maoni kabla ya kusikiliza kilichotokea
1. Alikuwepo nchini kabla ya kujiuzulu, amejiuzulu akiwa hapahapa

2. Nwenyenyumba hakua anajua lolote kuhusu polepole, mpangaji wake ni ndugu wa polepole. Hata palipovamiwa nwenyenyumba ndio alimpigia ndugu huyo baada ya majirani kumjulisha kuna uvamizi

3. Hiyo inaweza kuwa na ukweli au isiww namna ulivyoelezea anajua yeye alikua anatokaje. Kaka yake amesema walikua wakionana

4. Karudi kabla hajajiuzulu

5. Hiyo hatujui
Instagram kuna komenti ilidai polepole yupo Moshi huko sijui sehemu gani nikajisemea polepole yuko ulaya huyu jamaa kachanhanyikiwa leo kiko wapi
 
Back
Top Bottom